senkombati
Member
- Oct 29, 2012
- 57
- 23
Tanzania haikutikisika na kauli ya waasi wa kutaka jeshi letu lisiende huko.
Mkuu,
Hawa si askari wa JWTZ bali ni Nyamilenge wa M23...:mvutaji:
Mkuu senkombati heshima mbele. Ili kulinda heshima ya JF Naomba niweke mambo kadhaa sawa kutoka kwenye hiyo picha ya Sabahionline
Tanzania haikutikisika na kauli ya waasi wa kutaka jeshi letu lisiende huko.
Sio shamba boots tu ndo zinafika magotini.... Ivonya-Ngia au nifahamishe vipi ulijua kama ni shamba boots.