Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
- Thread starter
- #61
Zakumi wewe ndio unalazimisha views japo sio factual. Nani kakuambia Mbarabaig na Mmasai hafanyi analysis? Yaani analysis lazima imfanye mtu afikie conclusion ambayo mnafikia ninyi mnaojiona ni gatekeepers wa enlightenement? Kwa kuwa hawakukata majani basi hawakufanya analysis? Ina maana transhumance yao haijatokana na analysis? Tulishalijadili hili kwa kina - Mmasai na Mbarabaig mmemfukuza kwenye maeneo yake alafu hali ikimwia vigumu na mifugo yake mnaanza ooh hawana analysis! Kakae Umasaini na Ubarabaigini uone jinsi wanavyochambua mambo kwa kina!
P.S. Sasa unajifanya unaijua historia ya Wachina kuliko Wachina wenyewe?
P.S. Sasa unajifanya unaijua historia ya Wachina kuliko Wachina wenyewe?