Tanzania in plans to amend budget, exclude donor funding

Donors wanaangalia weakness yetu tu, corrupt government wanakupa hela kwa control yao baadae ukizidisha kwa wasichokipata wao wanakuscrew.
Kwa nini usijitegemee mwenyewe??
 
It depends on the type of loans taken, and the purpose of that loan. Also, execution of the project(s) which the lan was taken for. Not all loans are bad, but if you take loans to run the government, then you will most likely have a lot of problems.

Government are taking loans not by projects but by selling Treasury Bills (T-Bills) in this case for her 35% deficit in this case per budget year so is not which projects is the money going to be used for. They just want to come up with 100% of the fund and will be distributed as budgeted. If is loans for specific projects example Kigamboni bridge or Mwenge to Tegeta highway then those donors funds are not included on the budget and most of the time those projects are long term. So in conclusion my analysis is going to be true.
 
Not necessarily.
 
Are we going to die without donors? Hivi nyie watu ni walevi au walemavu wa akili?
Ni hujuma! Niache! Niache!

Inaelekea kiwango cha wizi serikalini ama hukijui ama wewe ni mmoja wao, so unashangilia kuachiwa bucha ili uibe vizuri. Chaos katika nchi itakayotakana na meltdown ya kiuchumi huoni kama ni issue kwa sababu wewe ndo utakuwa unaogelea katika ukwasi wa rushwa. Au meltdown ya kiuchumi huelewi ni kitu gani sababu kwanza haikuhusu!
 
But if we don't have a credible government, we should depend on donors for money and policing??

Certainly, that cannot be our choice; it'd just remain the very sad fate we cannot avoid - until we rectify our governance system. Self-reliance is feasible where there is strong, strategic and serious leadership. China is my best example of a "third world" country that, in defiance of the west, managed to ride its own way to self-determined prosperity. It is not a "good democracy" by the classic standards, but it has, in recent decades, enjoyed the most pragmatic leadership to be found elsewhere in this part of the global divide.

The leadership made a deep assessment of the country's "material conditions"; established its strengths and weaknesses and applied the right development strategy with a cool, steady and very determined hand. The results are clear for everybody to see. Do we see ourselves (in our current situation) making any similar headway? The right question: do we confidently see ourselves surviving without "donor - read, grants" dependency?
 
Huwa nasema kila siku Mwafrika huenda Shuleni kujifunza Kiingereza au kifaransa inategemea nani Mkoloni wake lakini siyo kitu kingine na matokeo yake ndiyo haya mwsho wa siku wanajua Kiingereza/ Kifaransa lkn kichwani hamna kitu, na chochote kilicho nje ya lugha ya kiingereza hajui na kigezo cha kupata kazi Afrika kikubwa klk vyote ni lugha ya kiingereza na ndio maana hamna jipya kila siku watu wanashindana kuongea Kiingereza na Misamiati migumu lkn IQ bado ni ndogo sana!
 
The problem is,we tax payers are going to suffer even more through more tax burden all in the name of 'self reliance programs while in fact the corrupt regime is doing this to protect the ESCROW criminals.

Tujitayarishe kwa kodi mpya zisizokuwa na mpangilio, hii lazima ile kwetu.

Ni bahati mbaya sana kwani ilivyo leo, tayari tunakung'utwa kodi zisizo na mpangilio pamoja na double taxation nyingi. Hali itakuwa mbaya sana.
Ni matumaini yangu kwamba maumivu ya huu mzigo mpya wa kodi itakuwa ni sehemu ya kichocheo kwa wananchi kuipiga chini CCM.
 
Huwa nasema kila siku Mwafrika huenda Shuleni kujifunza Kiingereza au kifaransa inategemea nani Mkoloni wake lakini siyo kitu kingine na matokeo yake ndiyo haya mwsho wa siku wanajua Kiingereza/ Kifaransa lkn kichwani hamna kitu, na chochote kilicho nje ya lugha ya kiingereza hajui na kigezo cha kupata kazi Afrika kikubwa klk vyote ni lugha ya kiingereza na ndio maana hamna jipya kila siku watu wanashindana kuongea Kiingereza na Misamiati migumu lkn IQ bado ni ndogo sana!

Salute mkuu,hakika umesoma na umeelimika
 
Didn't you know this when you were receiving donations?you only came to realize the importance of self-reliance policy when the donors pressured you to reveal and deal with the thieves of public fund (ESCROW) or denied financial aids. You are only doing this to cover your asses!

I salute you! You have said it all!
 
Tujitayarishe kwa kodi mpya zisizokuwa na mpangilio, hii lazima ile kwetu.

Ndiyo maana Dr Semboja, kwa uzoefu walionao viongozi wetu anajua fika kama hawatapa hiyo misaada watakimbilia kuwabambikia wananchi wao makodi kibao kwani wao hawajali maana haitawagusa. Imagine 50 yrs now lakini vyanzo vya fedha ni vile vile.
 
Back
Top Bottom