Tanzania imekalia BOMU la kisiasa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania imekalia BOMU la kisiasa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bra-joe, Jun 16, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini watanzania tutegemee kuona maajabu kati ya 2013 na 2014, kwani kwa sasa chama tawala kimeshikwa pabaya sana na Chadema na wala hakuna dalili zozote za kuachiwa, hivyo basi kwa sasa Ccm wanajaribu kutumia kila aina ya mbinu (chafu na safi) kujinasu, Bomu ambalo nchi imekalia ni kwamba kati ya mwaka 2013 na 2014 kama Ccm itakuwa haijajinasua huenda baba Rizmoja akakimbia nchi na baadhi ya viongozi wa Ccm kukimbilia vyama mbalimbali vya kisiasa, au Ccm wakatengeneza mapinduzi ya kijeshi ili uchaguzi 2015 usifanyike, au Chadema kusambaratika (Mungu apishilie mbali) kwa hila za magamba. Angalia sana 2013 na 2014.
   
 2. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Kata school product.
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,283
  Likes Received: 8,364
  Trophy Points: 280
  yale ya kusema ukichagua upinzani nchi itaingia ktk machafuko.i think magamba tries to create some sort of a vacuum for psychological fear.:A S thumbs_down:
   
 4. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Mpango wa muumba katu hauwezi kushndwa kwa ukombozi wa watatz,hzo ni mbinu zao za kutetea maovu yao lakini ukweli hauwez kuwa uwongo.twajua hila na mbinu zao,wajifunze ni kwanin kila mpango wao wa siri mambo huwa wazi kabla ya kutekeleza?mungu si wao so watz tutasimama imara daima,tuna mungu
   
 5. p

  petrol JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Bra-joe, umesahau uamsho huko zenj. Pengine hali ya ccm huko zenj ni mbaya zaidi afadhali bara
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Bomu lingine ni la udini hili lazma lilipuke,. Make kunawatu wameanza choma makanisa badae watawachoma watu,. Tuombe mungu watanzania
   
 7. m

  mwalimu wa watu Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe na hutaki unaacha mna undugu wowote? Maana naona wote mnaongelea habari za Kikwete kuachia madaraka 2013. Baada ya kukopa hadi kufikisha deni la taifa trioni 20 sasa mnatapatapa kukimbia nchi?
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Sheikh Yahaya
   
 9. B

  Bob G JF Bronze Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mungu tunakuomba utuepushie mbali na hawa ccm na viongozi wao ambao wakotayari kuleta machafuko kubaki madarakani Mungu tuepushe na Mauaji ya halaiki kama ilivotokea kwa majirani zetu
   
 10. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  ndugu baba Riz1 ana hali mbaya sana kisiasa na anatamani 2015 ingekuwa hata kesho kwani nchi imemshinda kila kona, hilo la kukopa labda alikuwa anajaribu kuweka mambo sawa lkn pia kashindwa, kwa mawazo yako wewe mtu akijaribu kila aina ya njia halafu akashindwa, kinachofuatia ni nini? Sina undugu na Utaki unaacha.
   
 11. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Kichuguu, ukiona moshi ujue kuna moto. Na hali ya ccm ni mbaya sana, kama ni mgonjwa basi tia maji tia maji.
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Nadhani kwa sasa jk ana pressure ya kushuka
   
 13. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hili bomu aliyelitegesha ni Kikwete.
   
 14. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kazi kweli kweli bomu mbona naona hata viti wanavyokalia wamewekewa kemikali zinawatafuna kila kukicha
   
Loading...