Tanzania imefika hapa?

Tanzania imefika hapa?

joseph2

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
662
Reaction score
1,376
Habari zenu wanajamii forums. Mimi ni mtanzania ambaye haishi Tanzania kwa zaidi ya miaka ishorini. Pamoja na kuishi nje ya Tanzania kwa mda mrefu hakuna siku ipitayo bila kutafuta habari za Tanzania kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali.

Kwa maana hiyo inawezekana mimi najuwa habari za Tanzania kuliko hata watanzania wanao ishi Tanzania.
Kilicho nifanya nije hapa jamii forums kuliza Tanzania imefikaje hapa ni kutokana na mambo ambayo nimekuwa nikiyaona yakifanyika wazi wazi na watu , hasa watawala wanaona ni kawaida.

Jambo moja lilonishtuwa na kujiuliza kama hii ni Tanzania au ni Congo ya kipindi cha Mbutu ceseseko.
Leo nimefuwatilia case mbili zinazo mkabili mwenyekiti wa chadema. MOja ikiwa ya uhaini na nyingine ya jinai. Nilicho Gunduwa katika case hizo mbili ni kwamba eidha Tanzania hatuna serikali au serikalini inaendeshwa na watu wajinga sana.
Chumba cha mahakama kilikuwa kimefulika kweli kweli. Sikubahatika kuona walio kuwa nje ya mahakama, ila na uhakika hata nje walikuwa wamejaa kuliko ndani.

Sasa nawauliza tumefikaje hapa ambapo tuna serikali isiyo juwa kuwa kila mtanzania ,au kila mwananchi anamchago mkubwa katika kuimalisha uchumi wa nchi? Yaani serikali ina simamisha wananchi wote walio kuja mahakama kufanya shughuli zao za kila siku kwaajiri ya kuja kusikiliza mashitaka ambayo ni ya kijinga na hayana faida yoyote kwa mtu yoyote? Na kibaya zaidi serikali inatumia kodi kuwalipa mawakili ,mahikim na wafanyakazi wote wanao husika katika kuendesha mahakama na magereza , kwaajiri ya case kama hii isiyo kuwa na miguu wala mikono! Tumefikaje kwenye Tanzania ya aina hii? Yaani nchi nyingine zinapiga hatuwa kwenda mbele Tanzania inpiga hatuwa kurudi nyuma kwa speed ya rocket 🚀.

Nani kaifikisha Tanzania hapa? Kama hii case ingefutwa na watu wote walio kuja mahakamani wakaendelea na shuguli zao za kila siki serikali ingeweza kukusanya kiasi gani cha kodi kupitia hawa watu? Hivi serikali inajuwa sio tu inajidharilisha bali pia inadharilisha taifa zima? Hivi serikali inajuwa inaondowa uzito kwenye kosa la uhaini, sasa inafanya uhaini kuwa kama kitu cha kawaida kabisa. Yaani watu wanatekwa na kupotea , na wengine kuuwawa barabarani mchana kweupe kama Mzee Ali Kibao, na hakuna anaye kamatwa wala kushukiwa, ila mtu anye sema no reforms no election anakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uhaini. Tumefikaje hapa ? Tanzania iliyo kuwa inawaficha wanaharakati wa South Africa walio kuwa wanapinga utawala wa makaburu.

Leo serikali ya Tanzania inawafanyia wananchi wake mambo ambayo makaburu walikuwa wanawafanyia wa South African weusi. Sasa Nyerere na mababu zetu walidai uhuru ili tuwa na wakoloni wazawa wanao itwa CCM? Kama lengo la uhuru ilikuwa ni hilo basi ni bora mara Mia wasinge dai uhuru. Nauhakika kama tungekuwa bado tunatawaliwa na wakoloni wa kizungu Ali kibao asinge uliwa kikatili vile, wala bene sanane asike potea , wala Alphonce mawazo asinge uwawa kwa kukatwa mapanga , wala Soka na wezake wasinge potea, wala tundu Lissu asingepigwa risasi Dodoma, wala Mdude Nyangari asinge potezwa, wala Gwajima asinge fungiwa kanisa kisa kakemea utekaji.

Hata makaburu hawakuwahi kufunga kanisa la Desmond Tutu alikuwa nakemea mauwaji yaliyo kuwa yanafanywa na serikali ya makaburu. Hata madela hakuwahi kupigwa risasi. . Naomba niishie hapa bado sijajuwa tumefikaje hapa? Najuwa tutakoje hapa ila sijajuwa itakuwa lini. Na najuwa walio tufikisha hapa hawezi kuwa sehemu ya kututowa hapa.
 
Attachments

  • VID-20250616-WA0059.mp4
    5.7 MB

Fimbo ya mbali haiui nyoka. Njoo TZ huku utasikika vizuri hasa ukiwa na true ID na sio hii feki.
 
Hata makaburu hawakuwahi kufunga kanisa la Desmond Tutu alikuwa nakemea mauwaji yaliyo kuwa yanafanywa na serikali ya makaburu. Hata madela hakuwahi kupigwa risasi. . Naomba niishie hapa bado sijajuwa tumefikaje hapa? Najuwa tutakoje hapa ila sijajuwa itakuwa lini. Na najuwa walio tufikisha hapa hawezi kuwa sehemu ya kututowa hapa.
Usimlinganishe chawa ja tapeli gwajima na Simba Desmond Tutu wala kanisa na duka
 
Naona kama Kiswahili kimeanza kukupiga chenga kidogo japo umejitahidi.

Ndiyo. Tanzania kwa sasa iko kwenye full dictatorship. Watu sasa wanaogopa kuzungumzia mambo ya siasa hadharani maana hakuna kuaminiana tena. Unaweza kutekwa mchana ukauliwa na hakuna anayejali. Inasikitisha!
 
Back
Top Bottom