Tanzania imeamka, sasa wote tunaongea kauli moja

Tanzania imeamka, sasa wote tunaongea kauli moja

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
Haki huinua taifa

Tanzania sasa imekua moja, wote tunaongea kauli moja, na msimamo ni kumwondoa mtesi. kabla tulikua na matabaka, sasa wote tumefikiwa

Tulisema sana, tukaonekana wajinga, mkuki umegeuka.

Tulikomboe taifa
 
Yaani Mtesi kapitiliza, ni anaua watu kama kuku na kuwatupa kama mizoga, hadi viongozi wa dini ana nyakua 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Back
Top Bottom