Tanzania ilitawaliwa na nchi gani?

Tanzania ilitawaliwa na nchi gani?

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,328
Reaction score
2,960
Habari wakuu

Kuna seemu nimekuta wazee wanaongea Eti Tanzania haikutawaliwa na Ujeruman wala Uingeraza ila ilikuwa chini ya UN.

Uingeraza walikuwa wasimamizi tu
Ndio maana Nyerere alienda kudai uhuru marekani je! nikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio MUINGEREZA alikuwa msimamizi tu

Ebu wambie hao wazee waongeze kahawa nakuja kuwalipia
 
  • Thanks
Reactions: m.k
Duh,.
Mwalimu wako wa historia alikuambiaje kwani,kama unakumbuka mkuu??
 
Kwaiyo Tanzania aijatawaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Berlin conference pale Tanganyika..Rwanda na Burundi alipewa Mjerumani...(German East Africa)...Baada ya vita ya kwanza ya dunia 1918 kumbuka wazungu walikaa pale UFARANSA kwa akina Emmanuel Macron na kusaini mkatab wa amani katik mji wa Versailes wale wa kidato cha 4 ukiauliza kuhusu VERSAILES PEACE TREAT watakuelekeza na kuamua kumuadhibu mjerumani kwasababu Mjeruman ndio alileta chokochoko kwa kuanzisha vita ile..
Adhabu mojawapo ilikuwa ni kumpokonya makoloni yake yote kwahyo na Tanganyika ikiwemo...Lakini makoloni hayo yakawekwa chini ya uangalizi maalum wa Umoja wa Mataifa ili baadae yajitawale yenyewe na Tanganyika ikawekwa chini ya Mwingereza...huo ni mwaka 1919...
Kama sikosei mwaka 1920 ndo jina Tanganyika likaanza kutumika rasmi....mwaka 1926 gavana Donald Cameroon akaanzisha bunge la Tanganyika wakati huo likiitwa LEGCo...Legislative Council...ni historia ndefu...
 
Tanzania haijawahi kutawaliwa na nchi nyengine yoyote.
 
Tanzania ilitawaliwa na Nyerere > Mwinyi > Mkapa > Kikwete > Magufuli.

ila Tanganyika ilitawaliwa na Germany mpaka 1919, mwaka 1919 Tanganyika ilikuwa nchi huru ila umoja wa mataifa wakaiweka Tanganyika chini ya Uingereza kama msimamizi huku sisi watanganyika tukijiandaa na serikali yetu wenyewe..
 
Back
Top Bottom