Tanzania iko wapi kwenye huu mkutano wa Russia-Africa?

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
Najaribu kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii na kwenye news channels ila ZERO VISIBILITY for Tanzania.
Meanwhile, nchi za Rwanda, South Africa, Zimbabwe, Cameroon, Angola etc zimekubaliana kutuma wanafunzi Urusi kila mwaka kwa ajili ya mafunzo kwenye vyuo vikuu vya Urusi.
Another missed opportunity!
 
Hiyo mikutano lengo ni kunyonya Africa Hakuna la maana

Km putin anaipenda Tanzania aje atembelee
 
Najaribu kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii na kwenye news channels ila ZERO VISIBILITY for Tanzania.
Meanwhile, nchi za Rwanda, South Africa, Zimbabwe, Cameroon, Angola etc zimekubaliana kutuma wanafunzi Urusi kila mwaka kwa ajili ya mafunzo kwenye vyuo vikuu vya Urusi.
Another missed opportunity!
Tulishatuma na tunaendelea kutuma watanzania China kwa mwendo wa hapa kazi tu. C.unajua China ni rafiki yetu mkubwa. Ila kuna Wachina 100 inasemekana walishikwa huko kanda ya ziwa wakichimba dhahabu holela, sasa cjui kama Wabongo wanaweza changamkia fursa namna hiyo kule China.
 
Russia simuamini kabisa,asaidie wananchi wake kwanza kabla ya kuangalia Africa. Anatafuta pa kuuzia silaha zake.
 
Uku kwetu wanafunzi kwenda kusoma nje ni kawaida sana tu. We did not miss the opportunity at all. Nyie subirini mpaka muambiwe "kuna vyuo urusi, njooni musome"
 
Najaribu kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii na kwenye news channels ila ZERO VISIBILITY for Tanzania.
Meanwhile, nchi za Rwanda, South Africa, Zimbabwe, Cameroon, Angola etc zimekubaliana kutuma wanafunzi Urusi kila mwaka kwa ajili ya mafunzo kwenye vyuo vikuu vya Urusi.
Another missed opportunity!
Chungulia hapo utamuona Waziri mkuu
 
Attachments

  • IMG_20191023_155218.jpg
    IMG_20191023_155218.jpg
    51.6 KB · Views: 1
  • IMG_20191023_155212.jpg
    IMG_20191023_155212.jpg
    64.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom