Tanzania Heart Institute properties auctioned

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

Mon, Jul 9th, 2012

Tanzania |

Dar es Salaam-based Tanzania Heart Institute (THI) properties were sold at a public auction yesterday following the High Court's (Land Division) order to recover over 6.9bn/- the former owes the National Social Security Fund (NSSF).

Possible-buyers-look-at-hospital-equipment-and-other-items-that-were-on-sale-during-an-auction-in-Dar-es-Salaam.jpg

Possible buyers look at hospital equipment and other items that were on sale during an auction in
Dar es Salaamyesterday after the High Court ordered that Tanzania Heart Institute properties be sold to recover 6.9bn/- in rent owed to the National Social Security Fund. The event was supervised by Erick Auction Mart workers. (Photo: Tryphone Mweji)

The public auction, which was conducted by Erick Auction Mart and Court Brokers, covered all hospital equipment, and was witnessed by hundreds of people, a spot check by
The Guardian revealed.

This newspaper also witnessed on the walls of the hospital buildings notices informing the public that the THI facility has been officially closed and that the NSSF had already secured another tenant to occupy the premises located along Tunisia Road in Kinondoni municipality.

"This hospital has been closed following the Court Order and there will be no service offered…This building, which belongs to the NSSF, has already secured a new investor," reads the announcement in part.

Those getting into the premises to take part in the auction were charged 5,000/- each at the hospital gate and journalists were barred from entering the public auction area.

NSSF public relations manager Eunice Chiume confirming that the auction was held said it was done to implement a court order.

The High Court (Land Division) ordered the auction last month. The sale comes after the THI withdrew its application and appeal seeking to challenge the High Court ruling authorising execution of the order.

According to court records, the application in question was supposed to be withdrawn as long as April 23, this year by Appeal Court Judges Eusebia Munuo, Mbarouk Mbarouk and Salum Massati following a request by THI lawyers.

THI is indebted of 6,964,574,497/- that has not been paid to NSSF since the institute started renting the fund's buildings.

On March 9, this year High Court Judge Kakusulo Sambo ordered the THI to vacate the NSSF premises for failure to pay the debt.

This was not the first time the High Court issued a vacation order to THI for failure to settle rental fees. In 2008, a similar decision was given, but was set aside later by Court of Appeal after granting an application for revision lodged by the THI after noting some irregularities.

Source
The Guardian

Ok, Wanataka Watanzania Warudi Nyumbani kuleta Technologia Mpya; Huyu Daktari alikuwa na kazi Nzuri Houston

Akaamua kurundi nyumbani kufungua Hospitali ya kutibu MOYO; ingesaidia Watanzania pesa nyingi za KIGENI kwenda

INDIA au EUROPE kupasuliwa MOYO; Alipofika DAR Misaada aliyoahidiwa na Serikali ya CCM ikawa MIGUMU kutolewa

Wakawa wanapigwa VITA na WIZARA ili tu kupeleka watu nje WIZARA inafaidika; Sasa Angalia NSSF wamewalima

kuwamaliza kabisa... Nani atarudi ??? Wenzetu wa KENYA wao Hawapeleki WAGONJWA NJE WA MOYO; NI UJAMAA?

AU TUNALILIA UJAMAA LAKINI TUNAISHI KIBEPARI UCHWARA.
 
Kwa watu walio wahi kupata huduma pale THI wanajua fika umuhimu wa huduma ya THI na hasa mkurugenzi wake Dr. Masau. Lakini niliwahi kujulishwa kuwa kuna watu (wizarani) wananufaika tena kwa kiasi kikubwa kwa kupeleka wagonjwa wa moyo kutibiwa nje. Wao wapo tayari kuona wengi wasio na uwezo wanakufa lakini wale wachache wanaopatikana wanakamuliwa ipasavyo. Motto ya THI ni from the heart for the heart. Ila sasa serikali imemwangusha. Kwanini serikali haikumsaidia au kuingia na ye ubia maana anasaidia watu wengi. Nimesikitika nimeuzunishwa.
 
ni kama vile MAIGE ana malori,asingesupport TRC ifanye kazi!angekua mwekezaji mzungu angepewa ushirikiano na govt
 
Ukweli serikali ingekuwa makini wangempa jengo - bureeee kabisa huyu Dr Masau. Amesaidia sana watu huyu Doctor. Kama tuna Tsh 1.7 trillion za stimulus kwa makampuni ambayo haijulikani yanasaidia vipi wananchi, tushindwe nini kuisaidi THI? Very sad.
 
ni kama vile MAIGE ana malori,asingesupport TRC ifanye kazi!angekua mwekezaji mzungu angepewa ushirikiano na govt

You are correct,
Kwavile ni mswahili mwenzetu na hajaletwa na ccm bali juhudi zake binafsi, basi anapigwa vita. Na kwavile kuna watu wanafaidika na huu upuuzi wa kupeleka watu India.

Angekuwa mzungu hapo jamaa wa magogoni ungekuta ameshapiga nae picha na kutangaza kwamba serikali ya ccm imefanya juhudi za kuhakikisha magonjwa ya moyo yanatibiwa hapa hapa!!

Lakini sasa alivyo omba omba hawezi hata kuongea!

Hii kitu imeniuma sana hii!!
 
Ok, Wanataka Watanzania Warudi Nyumbani kuleta Technologia Mpya; Huyu Daktari alikuwa na kazi Nzuri Houston

Akaamua kurundi nyumbani kufungua Hospitali ya kutibu MOYO; ingesaidia Watanzania pesa nyingi za KIGENI kwenda

INDIA au EUROPE kupasuliwa MOYO; Alipofika DAR Misaada aliyoahidiwa na Serikali ya CCM ikawa MIGUMU kutolewa

Wakawa wanapigwa VITA na WIZARA ili tu kupeleka watu nje WIZARA inafaidika; Sasa Angalia NSSF wamewalima

kuwamaliza kabisa... Nani atarudi ??? Wenzetu wa KENYA wao Hawapeleki WAGONJWA NJE WA MOYO; NI UJAMAA?

AU TUNALILIA UJAMAA LAKINI TUNAISHI KIBEPARI UCHWARA.

hapa ni wazi mafisadi wameshinda. Mawakala wa kupeleka watu India na kupata 10% hawakukubali kupoteza cent. Inauma sana.
 
duuu!jamani hadi machozi yamenitoka!hospitali imemsaidia sanasana mama yangu mzazi katika ugonjwa wa moyo!jamani yule dokta anajituma mno!pole dr masau,ila kumbuka mlango mmoja wa riziki ukifungwa,mlango mwingine utafunguliwa na mungu.
 
What?!, tunachekesha sie, hatujali watu wetu, tunajali kuchakachua hela na kuomba nyingine kutoka kwa mabwana zetu wa Kihindi, Kizungu na Karabu, ili kuwalipa Usalama wa Taifa wawadhuru viongozi wa Chadema na nyingine tukahonge mademu ili tupate ngono za kutosha na hasa Tigo, eeh, mpaka wenye umri sawa na wajukuu zenu, hamna hata haya na wala hamuoni vibaya, watu wazima hovyooooooo! Fataki wakubwa nyie!
 
germans wamemaliza ufadhili CCBRT,badala ya govt itoe ruzuku eti watoto wagonjwa wa mtindio wa ubongo wapelekwe MOI
 
Kutokana uongozi wa hovyo hovyo kwa taifa hili KIWETE anastahili kunyongwa akishatoka magogoni.Ni aibu gani hii wa-Tz? Hatuna Rais bali tuna mfano wake Wallah!
 
You are correct,
Kwavile ni mswahili mwenzetu na hajaletwa na ccm bali juhudi zake binafsi, basi anapigwa vita. Na kwavile kuna watu wanafaidika na huu upuuzi wa kupeleka watu India.

Angekuwa mzungu hapo jamaa wa magogoni ungekuta ameshapiga nae picha na kutangaza kwamba serikali ya ccm imefanya juhudi za kuhakikisha magonjwa ya moyo yanatibiwa hapa hapa!!

Lakini sasa alivyo omba omba hawezi hata kuongea!

Hii kitu imeniuma sana hii!!

Ni rahisi kuwapatia THT jengo na studio lakini si jengo kwa ajili ya matibabu ya watanzania wengi. Kweli nimeamini serikali hii ina issue na sector ya afya....
 
Its a sad one. Huyu Dr Masau alishindwa kulipa kodi kwa sababu ya kuwa na rates za chini. Wakati Agha Khan a private room ilipochajiwa tshs 100,000 kwa siku, yeye alichaji tshs 40,000 kwa siku. That is a huge gap! Siongelei bei ya madawa na huduma zilivyo tofauti na wengine.

Na baada tu ya kumtimua tenant mwingine ameshapatikana! Wonderful, ngoja tuone kama anaweka hotel ama vipi!
 
Health care business is tough, inahitaji special support and policies kuilinda inakuwa ngumu zaidi kwenye kutegemea out of pocket payments. Health Insurance inaweza kusaidia lakini na wao wanachagua to support the healthy ones hawataki ku cover Kila mtu. Sasa kama UNA ugonjwa wa moyo ndio sahau(wanakukubalia Lakini hiyo fee yake ni kubwa mnooo). I could not see this institute survive without intentional support.
 
Ukweli serikali ingekuwa makini wangempa jengo - bureeee kabisa huyu Dr Masau. Amesaidia sana watu huyu Doctor. Kama tuna Tsh 1.7 trillion za stimulus kwa makampuni ambayo haijulikani yanasaidia vipi wananchi, tushindwe nini kuisaidi THI? Very sad.

I support the idea.
Lakini watendaji wa serikali wamekua ndio chanzo cha kufungwa kwa huduma za Dr Masau. Mafisadi wa Muhimbili wamafanikiwa kwa hila kuzima kabisa huduma za Dr. Masau, laana na iwe juu yao!
 
Ilikuwa yake peke yake?
Angekuwa ameungana na ma dr wengine wa moyo labda angekuwa na nguvu kubwa serikalini, But mtu mmoja kupambana peke yake ni ngumu.
 
Back
Top Bottom