Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Hawa ndio wanataka tuwape nchi wakati hata sayansi ya uchumi ni zero alafu Eti anaiita Barclay's "serikali inakopa mpaka Barclay's" anafikiri Barclay's ni kama wallet yake ya mfukoni au kopa ng'ombe lipa ndamaMleta uzi ni bora ungekaa kimya kwa kuwa umedhihirisha kuwa wewe ni mbumbumbu wa uchumi. Kutoa mikopo ndio shughuli kuu na mikopo ndio bidhaa kuu za mabenki na taasisi za fedha duniani kote. Aidha unatakiwa kufahamu kuwa ukisha kukopa hicho kiasi ulichokopa kinakuwa pesa yako, siyo pesa ya benki. Kwa hiyo serikali kusema tunajenga miundombinu kwa pesa zeu wenyewe ni kauli sahihi kabisa.
Mleta uzi ni bora ungekaa kimya kwa kuwa umedhihirisha kuwa wewe ni mbumbumbu wa uchumi. Kutoa mikopo ndio shughuli kuu na mikopo ndio bidhaa kuu za mabenki na taasisi za fedha duniani kote. Aidha unatakiwa kufahamu kuwa ukisha kukopa hicho kiasi ulichokopa kinakuwa pesa yako, siyo pesa ya benki. Kwa hiyo serikali kusema tunajenga miundombinu kwa pesa zeu wenyewe ni kauli sahihi kabisa.
Unaanzaje kukufuru Mungu kwa kumwamini mwanaccm ?Sidhani kama habari hii ni kweli kwani raisi wetu alisema reli tunajenga kwa fedha zetu wenyewe za ndani jamani.
Mkuu sema kwa sauti ya chini jirani atasikiaMuda huu Serikali imewaomba Barclays Bank mkopo wa fedha ili imalizie Reli ya Standard Gaurge kuifikia nchi ya viwanda.
Leo Waziri wa Mipango Dr.Mpango ametembelea Makao Makuu ya Benki ya Barclays na kuiomba kuisaidia Serikali mkopo wa riba nafuu ili Serikali iweze kutekeleza miradi yake ya miundombinu ya Reli ya kati ya "Standard Gauge" na mradi wa umeme wa Stiglers Gorge.
Waziri Mpango ameiomba Benki hiyo kutenga kiasi cha fedha ili kuikopesha Serikali ili iweze kuijenga hiyo miradi yake ambayo inahitaji pesa nyingi ili Serikali iweze kufikia adhima yake ya nchi ya viwanda.
Swali: Inakuwaje tena Serikali inaanza kwenda kukopa kwenye mabenki binafsi na wakati tuliambiwa pesa inayojenga Reli ya Standard Gauge na ule mradi wa Stiglers Gorge ni pesa za ndani ambazo ni kodi zetu?
Je, kiuchumi kuna athari gani kukopa Benki binafsi kama Barclays? Zile taarifa kuwa miradi inajengwa kwa pesa za ndani huwa ni siasa tu?
Kwamba hakuna pesa ndiyo maana tunazunguka kukopa mpaka Barclays? Aibu nyingine hii kwa CCM na watu wake.
View attachment 688636
Njia ya mwongo ni fupi!
Mkuu sidhani kama umeelewa mada, ni vzr uwe unasoma kabla ya kukurupuka!Usikute unalinganisha Barclay's na efatha.?
Largest banks in the world
Rank Bank name & Total assets (US$ billion)
1 Industrial and
Commercial Bank of China 3,473.09
2 China Construction
Bank Corporation 3,016.45
3 Agricultural Bank of
China 2,815.92
4 Mitsubishi UFJ
Financial Group 2,626.29
5 Bank of China 2,611.43
6 JPMorgan Chase &
Co. 2,500.00
7 HSBC Holdings PLC 2,374.15
8 BNP Paribas 2,189.27
9 Bank of America 2,187.70
10 Wells Fargo & Co. 1,930.12
11 Crédit Agricole 1,816.97
12 Citigroup Inc. 1,790.68
13 Mizuho Financial
Group 1,752.19
14 Deutsche Bank 1,675.69
15 Sumitomo Mitsui
Financial Group 1,648.66
16 Barclays PLC 1,495.84
Hiv mkikopa hela na ukazilipa kwa fedha za ndan kuna tofauti ipi hapo kwba tunajemga kwa fedha zetuSidhani kama habari hii ni kweli kwani raisi wetu alisema reli tunajenga kwa fedha zetu wenyewe za ndani jamani.