BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 11, 2011 #1 Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Nov 11, 2011 #2 Amani iko wapi kama unakuwa mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe!!! Hakuna viongozi wa kusikiliza shida za wananchi, ni mabomu tu.
Amani iko wapi kama unakuwa mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe!!! Hakuna viongozi wa kusikiliza shida za wananchi, ni mabomu tu.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Nov 11, 2011 #3 BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... Kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu imtoke maskioni ndo ataskia.
BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... Kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu imtoke maskioni ndo ataskia.
king'amuzi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 614 Reaction score 225 Nov 11, 2011 #4 mwisho wa mwaka utasikia jeshi limetumia bilion 26 kutuliza ghasia ambazo zinazungumzika.
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Nov 11, 2011 #5 Lakini hawa viongozi wetu kweli hamnazo. Tangu lini Amani ikatafutwa kwa vitisho!!!!!. Wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga au waoga kiasi gani!!. JK ajiuzuru sasa.
Lakini hawa viongozi wetu kweli hamnazo. Tangu lini Amani ikatafutwa kwa vitisho!!!!!. Wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga au waoga kiasi gani!!. JK ajiuzuru sasa.
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 11, 2011 Thread starter #6 king'amuzi said: mwisho wa mwaka utasikia jeshi limetumia bilion 26 kutuliza ghasia ambazo zinazungumzika. Click to expand... Wakati hizo hizo hela wanafunzi wangeweza kumaliziwa shida zao.
king'amuzi said: mwisho wa mwaka utasikia jeshi limetumia bilion 26 kutuliza ghasia ambazo zinazungumzika. Click to expand... Wakati hizo hizo hela wanafunzi wangeweza kumaliziwa shida zao.
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,699 Reaction score 9,590 Nov 11, 2011 #7 Tumekuwa mabingwa wa management by cricis utawala wa zimamoto.
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,366 Nov 11, 2011 #8 kwani amani imewahi kuwepo?
B Bundajo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 244 Reaction score 47 Nov 11, 2011 #9 BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... BABATI hali ni mbaya sana leo.
BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... BABATI hali ni mbaya sana leo.
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 11, 2011 Thread starter #10 Bundajo said: BABATI hali ni mbaya sana leo. Click to expand... hebu weka picha hapa za uhakika kama zipo mjomba, huko ndio manyara kwenyewe.
Bundajo said: BABATI hali ni mbaya sana leo. Click to expand... hebu weka picha hapa za uhakika kama zipo mjomba, huko ndio manyara kwenyewe.
K Kubingwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 505 Reaction score 69 Nov 11, 2011 #11 BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE!
BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE!
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 11, 2011 Thread starter #12 Kubingwa said: Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE! Click to expand... Si kila siku magamba wanajitamba wanaleta Amani tanzania. Sasa leo imekuwa kwa vitendo Nchi nzima. Juzi tu ilikuwa mwanza, karatu sec, Arusha etc.........
Kubingwa said: Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE! Click to expand... Si kila siku magamba wanajitamba wanaleta Amani tanzania. Sasa leo imekuwa kwa vitendo Nchi nzima. Juzi tu ilikuwa mwanza, karatu sec, Arusha etc.........
S seniorita JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 674 Reaction score 56 Nov 11, 2011 #13 jamani kwenye taarifa mtujuze maana wnegine tuko mbali kwa sasa; Babati kuna nini tena?
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 11, 2011 Thread starter #14 seniorita said: jamani kwenye taarifa mtujuze maana wnegine tuko mbali kwa sasa; Babati kuna nini tena? Click to expand... Kumenuka mjomba kama mbeya na kwingine............... ila huko story ni tofauti.
seniorita said: jamani kwenye taarifa mtujuze maana wnegine tuko mbali kwa sasa; Babati kuna nini tena? Click to expand... Kumenuka mjomba kama mbeya na kwingine............... ila huko story ni tofauti.
S sanjo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 943 Reaction score 271 Nov 11, 2011 #15 BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... Mkuu, tatizo la viongozi wabovu na wachoyo ni kuamini kuwa matumbo yao, familia zao na jamaa zao wa karibu ni bora kuliko umma wa Watanzania. Matokeo yake hawasikilizi mawazo na shida za watu. Haya yataendelea kutokea sana, endelea kuyashuhudia.
BIG X said: Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa......... Hakuna Amani tena!! Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!! Click to expand... Mkuu, tatizo la viongozi wabovu na wachoyo ni kuamini kuwa matumbo yao, familia zao na jamaa zao wa karibu ni bora kuliko umma wa Watanzania. Matokeo yake hawasikilizi mawazo na shida za watu. Haya yataendelea kutokea sana, endelea kuyashuhudia.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 11, 2011 #16 jamani mnatutisha kimenuka katika miji hiyo tatizo nini? na kunuka huko ni katika maeneo gani ya miji? naomba kujuzwa.Nalog off
jamani mnatutisha kimenuka katika miji hiyo tatizo nini? na kunuka huko ni katika maeneo gani ya miji? naomba kujuzwa.Nalog off
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Nov 13, 2024 #17 DASA said: Lakini hawa viongozi wetu kweli hamnazo. Tangu lini Amani ikatafutwa kwa vitisho!!!!!. Wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga au waoga kiasi gani!!. JK ajiuzuru sasa. Click to expand... What He said
DASA said: Lakini hawa viongozi wetu kweli hamnazo. Tangu lini Amani ikatafutwa kwa vitisho!!!!!. Wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga au waoga kiasi gani!!. JK ajiuzuru sasa. Click to expand... What He said