Tanzania haina udhuru kuwa maskini; haielewi - Balozi wa Ujerumani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania haina udhuru kuwa maskini; haielewi - Balozi wa Ujerumani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alpha, Oct 16, 2009.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 612
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  He forgot to mention we are surrounded by Rivers and lakes, yet a large segment of the population does not have access to clean water. We cannot produce enough electricity even though we have abundant gas deposits.... the list goes on and on.

  http://thecitizen.co.tz/newe.php?id=14917
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 5,630
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  In the abundance of water, the fool is thirsity !
   
 3. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kusema ukweli, hii inauma sana. sijui tufanye nini ili inji hii ipone.
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,823
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hizi ndo zile threads nikizifungua nasikia aibu! (as if niko uchi)
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 8,909
  Likes Received: 3,583
  Trophy Points: 280
  ila si ndio zinakupa motive ya kutafuta soln,ukweli unauma ila unasaidia kukufanya ujifahamu na ufikirie utoke vipi
   
 6. M

  MILKYWAY GALAXY Senior Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nia ninayo, uwezo ninao, sababu ninazo.
  Please Mr President,
  Give me TRC/TRL niifufue, niiboreshe, niimarishe.

  I CAN DO IT.

  JUST GIVE ME THE WORK.
   
 7. M

  Mfikilwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dah ni kweli tupu, nina imani Zitto atapokuwa rais wetu mambo mengi yatabadilika!
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Maendeleo ya nchi hayaji kwa viongozi wake kila siku kutoa ngonjela za kupiga vita rushwa majukwaani huku nyuma wao ndio wanaowalinda mafisadi!! Kikwete kama kweli hapendi rushwa kwanini anamuachia Malegesi bila kumkamata atupe ushahidi wa KAGODA?
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,124
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Ngoja waje kina Masatu!
   
 10. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,157
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Further to that we have trained personnel in all fields.

  Inanikumbusha enzi za mwalimu kuwa, ili tuendelee tunahitaji vitu vinne Ardhi, Watu, siasa safi na Uongozi bora. Vyote tunavyo isipokuwa siasa safi ndio hatuna. Balozi amepatia 200%. Pamoja na siasa mbaya ambayo tunayo sasa tunagawa ardhi yetu kwa kisingizio cha kilimo kwanza ambapo tunatoa ardhi yetu kwa watu wa nje na kuacha kuwaangalia wananchi wetu waitumie.

  Tatizo ni kuwa hatutaki kufikiri, hakuna tatizo lingine.
   
 11. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Acha ndoto za alinacha, huyu akiwa mkulu hatakuwa tofauti na hawa wezi wengine si unaona jamaa wakamlambisha kidogo tu kwenye dili ya DOWANS akachanganyikiwa big time!! Urais sio lelemama; inatakata uwe imara kama alivyokuwa MUSSA, urafiki ni kwenye kunywa chai tu lakini sio mambo ya nchi na serikali yake!! Zitto hawezi hayo yeye kila kitu ni Kigoma; muache awe mbunge wa kudumu wa mwandiga.
   
 12. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,823
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  This is what we call a high level of dissatisafaction with how things go.
  Inaonesha mkuu umekasirika sana.
   
 13. A

  Alpha JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 612
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kila Mtanzania lazima akisirike.

  There is absolutely no reason this country should be poor. We are blessed beyond belief. Countries with a lot less than us have done a lot better than us, why?

  Leadership
   
 14. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kila mbongo anafanya uchuuzi! hakuna anayefanya real economic mtaendela vipi?
  Look, mtu ambaye hajawahi kufanya biashara hata ya embe "waziri wa biashara" hawezi ona business opportunity for a country
  Look mtu ambaye hajawahi kulima wala hana shamba waziri kilimo hawezi kujua matatizo ya wakulima sembuse masoko
  blah blah tu za watu..real economy yaani (production yote wanafanya wahindi viwanda,
  biashara real (acha uchuuzi wa wachaga wa kwenda dubai/china na kurudi) wanafanya waarabu na wahindi...
  bado sana nchi hii ingieni kwenye hiyo biashara unakutana na umeme mgao (ngeleja anakula raha) wala hashtuki kwakuwa hajawahi fanya biashara..ametoka shule ..mtandao..amepeta??? what a stupid success???
  Nchi inaendeshwa na wanasiasa waliofika kileleni bila kuonyesha anything substantial waliyo wahi kufanya kwao wenyewe au kwa nchi yao..kazi kwelikweli.
   
 15. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,325
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Because African peoples simply have next to nothing of what it takes to pull themselves up from their hard-scrabble, brutal existences with only their guts and bare knuckles the way European immigrants tamed the North American Wild West, i.e., through initiative, thrift , creativity, honesty, industry, technology ... and so on and so forth. Africans just can't. Africans are only good at stealing, cheating and running down things to the ground.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Oct 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,281
  Likes Received: 22,933
  Trophy Points: 280
  Oh boy! Raj would give you a "Thanks" for this one....

  You get a thumb up from me for being blunt and telling it like it is.
   
 17. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,325
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  I may end up sounding like Rajput Patel, but guess what? I'm just as dead serious like Rajput Patel!

  Now, if I may add a bit on my earlier posting: the one and only thing Africans are good at (next to making merry) is raw, hard physical labor in the blazing sun. Given the relatively high level of unemployment in African countries, I'd suggest that there be established huge forced collective labor camps where people could be worked to death by and for the state. No pain no gain, Americans like to say. China, Korea, Russia and US wouldn't be where they are today hadn't it been for both extensive and intensive use of forced labor as a well established institution in society to this day.
   
 18. J

  Joblube JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF

  Nimekuwa nikijiuliza kwa nini sisi wataTz ni masikini nikagundua kuwa wenzetu wana limited resource but unlimited creativity while us we have more resources but limited crativity plus ufisadi ambao wenzetu huwauwa kama China. wenzangu mnasemaje?
   
 19. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,606
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, ni kweli hujui?
   
 20. M

  MASOKO Senior Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  take the panga tuwauwe
   
Loading...