Tanzania haina udhuru kuwa maskini; haielewi - Balozi wa Ujerumani

Rais wako alisema hajui, je wewe unajuwa?Hata kama unajuwa sijui utamsaidiaje naye ajuwe.Ebu jaribu tuone.
Mbona kuna misururu mirefu ya magari toka pande zoote za jiji tena foleni inasogea taratibu kiasi wafanyakazi wanaingia maofisini saa 4,hayo si maendeleo? ty,ty,teh,teh.uuuwi!!!
 
Shida ya nchi yetu kuwa maskini sana duniani ni nini?Tujadiliane na Tuweke njia za Kutatua..
 
....Nchi yetu si maskini kabisa. Tuna utajiri mkubwa sana wa misitu na rasilimali nyingine nyingi ambazo kama utajiri huu ungetumika vizuri kwa manufaa ya Tanganyika na Watanganyika tungekuwa na uchumi mzuri sana katika Afrika na hata duniani. Tatizo lililopo tuna watu ambao wanajiita viongozi waliojawa ulafi wa utajiri uliopindukia na pia hawana uchungu kabisa wa nchi yetu hivyo rasilimali zetu nyingi huishia kuwanufaisha hawa watu wachache ambao sasa hivi wengi wao wana utajiri wa kupindukia (mabilionea) na pia kuwanufaisha wageni ambao wanaingia nchini kupitia mgongo wa uwekezaji wakati hakuna chochote wanachowekeza.
 
Kwa sababu watanzania ni wajinga kupita kiasi, na nadhubutu kusema hatutoki hata siku moja, hebu angalia vizuri
 
Nitarudi nikipata jibu kutoka kwa Rais wa NEC Bwana Fisadi, Dr. Dr. Dr. Mwanajeshi mstaafu, King wa wa K_were, Alhaji Kikwete
 
Because it is highly corrupted country in the world and this is the result, from the president to streets. Nothing can be done in this way with national interest but every thing is done for personal interest.
 
Hilo swali aliulizwa kikwete na BBC akasema yeye pia anashangaa kwa nini tz maskini,mimi pia nashangaa na sijui kwa nini
 
Sababu ni kwamba tuna viongozi ambao hawana vipaumbele na wala haelewi ni kwanini wamepewa majukumu ya kiuongozi.
 
Iko wazi sana..
Ni swala la UWAJIBIKAJI TU..

Kila mtu kwa nafasi yake,,kila mtu Awajibike,,kama mwalimu afanye kama inavyompasa mwalimu kutenda..na Drs,wanajesh,polisi,hakimu na majaji,wakusanya kodi,kila mtu kwa nafasi yake atende kwa nafasi yake tena kwa uadilifu..

Ila mabadiliko ya kweli lazima yaanzie juu kushuka chini..
Uadilifu uanzie kwa Rais,Balaza la mawaziri,Bunge na baadae watu wote wa kawaida watafata..

Serikali isapoti raia wake na baadae raia wakisha kuwa pouwa thn raia wataisapoti tu serikali na mwishowe taifa lote kwa ujumla..
 
Kwasababu tuna janga kubwa ambalo ni Jk na ccm yake kwa ujumla ni muda mrefu tangia ccm imekuwa madarakani viongozi wake wamekuwa wakiweka maslahi binafsi mbele kuli maslahi ya Taifa. In short Ccm ni kikwazo cha maendeleo Tz
 
images
Tango-Tanzanite-and-Diamond-Ring-11.gif

Only found in Tanzania.
Tanzania is able to regulates its market.
But the Main exporters are South Africa, India and Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shida ya nchi yetu kuwa maskini sana duniani ni nini?Tujadiliane na Tuweke njia za Kutatua..

Hata Rais Wako alishawahi kuulizwa swali kama hili akajibu kuwa na yeye hajui kwa nini TZ ni masikini...
 
Sababu tunachagua viongozi wachumia tumbo,wezi na wanaofikiri kwa kutumia masaburi
 
Back
Top Bottom