Tanzania haiko salama

Tanzania haiko salama

Joined
Feb 13, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Ukweli Tanzania si nchi salama tena sema idadi ya wanauwawa kwa wakati mmoja sio wengi. Mauaj ya kila kona mateso ya waandishi wa habari, ujambazi, ujangili ndani ya hifadhi. Viongozi kutumia viungo vya albino kutawala inanifanya nseme Tanzania si salama.
 
Viongoz kutumia viungo vya albino kutawala inanifanya n4seme tanzania c salama.

Ni nini hiki ulichokiandika hapa?

Tuwe serious jamani hata kama tunatumia majina fake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tufanye wewe hujui kwamba viongozi wengi wanaenda kwa masongoma wakiamini ni kulinda nafasi zao au kutafuta nafasi kubwa zaidi? Huko ndiko kuua maalbino kwa vile masangoma hao wanahitaji sehemu za miili ya Albino.
 
Kweli kila mtu na dini yake tuiombee sana hii nchi. Hasa hizi damu za watu zinazomwagika bila hatia ni noma sana kwa taifa
 
Mosie Mtumba...bado wako wanaodai ni nchi salama na hivi karibuni ripoti ilitolewa pia ya kuthibitisha hilo.............
 
Haswa tunatakiwa kuiweka kwenye maombi hii nchi.

Na hilo ndo la muhimu. Awamu ya kwanza ya utawala ilimtegemea sana MUNGU karibu kwa kila kitu, lkn awamu hii viongozi wengi wanategemea sana ushirikina kuanzia kuingia madarakani hadi kufanya kazi. Ndio maana nchi haiishi majanga kila kukicha. Tuombe sana na kifunga sana kila mtu kwa Imani yake. Amen
 
Tufanye wewe hujui kwamba viongozi wengi wanaenda kwa masongoma wakiamini ni kulinda nafasi zao au kutafuta nafasi kubwa zaidi? Huko ndiko kuua maalbino kwa vile masangoma hao wanahitaji sehemu za miili ya Albino.

Mimi sijui. Ni kiongozi/viongozi gani hao?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tufanye wewe hujui kwamba viongozi wengi wanaenda kwa masongoma wakiamini ni kulinda nafasi zao au kutafuta nafasi kubwa zaidi? Huko ndiko kuua maalbino kwa vile masangoma hao wanahitaji sehemu za miili ya Albino.

Seem to be thinking and believing in your thought as a valid truth................

Tatizo ni kubwa zaidi ya haya tunayoyaona
 
Tanzania si salama mnalinganisha na nchi gani salama nikimbilie huko, maana nauona ukweli; pengine kesho ni mimi nitauliwa.
 
Mimi sijui. Ni kiongozi/viongozi gani hao?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kuna viongozi, mawazir, MRPC,makamishna wameenda Loliondo kwa babu vyeo vidumu. Je kweli hawa hawaend kwa wengne wakaambiwa leten viungo vya albino mtadumu madarakan. Mfano wameleta FBI Kwa kifo cha mtu mmoja kwanin wasilete kwa ajil ya maalbino? Tafakari
 
Well said! Padr kafa mmoja lakini kilasiku maalbino wanapoteza maisha na viungo vinapotea wengine wakiwa hai.
 
kuna viongozi, mawazir, MRPC,makamishna wameenda Loliondo kwa babu vyeo vidumu. Je kweli hawa hawaend kwa wengne wakaambiwa leten viungo vya albino mtadumu madarakan. Mfano wameleta FBI Kwa kifo cha mtu mmoja kwanin wasilete kwa ajil ya maalbino? Tafakari

Na MIZENGO PINDA aliendaga'
 
Back
Top Bottom