Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

Mayalla, mtu mwenye upendo unampimaje?
Unaupima kwa kipimo gani?
Ni vigezo gani unavizingatia na ni vigezo gani unaviacha na kwa nini?
 
Mimi kwa upande wangu pascal mayalla nimemuelewa!!! Lakini post yake ukiisoma haraka haraka utaona kama kaegemea upande flani kmbe yuko kati kati
 
Ok Pasco hapo juu umetaja makundi kadhaa katika jamii, kama wanafunzi waliopata mimba, sasa kabla huja hitimisha hou upendo mkuu wa rais kama unge tueleza ki
Ok mkuu pasco, hapa juu umetueleza makundi kadhaa katika jamii ambayo yalihitaji huo upendo wa rais, kama wanafunzi walio pata mimba shuleni, wakulima wa korosho, waliotekwa, walio pigwa risasi na jinsi huyo raisi alivyo onyesha upendo kwao kwa kushikama nao. Yeye kama raisi alifanya nini kuonyesha upendo wake kwao na kushikamana nao katika hicho kipindi kigumu walicho pitia. Elezea kila kundi alivyo shughulika nalo na kuonyesha upendo wake kwao kisha uje otoe hiyo kauli yake kuwa anaupendo mkubwa kwa watu wake. La sivyo umetumia neno kubwa upendo mkubwa kwa tukio dogo.
 
Ila we jamaa ni muongo sana..nikikuita mnafiki labda nitakuwa nimekosea.

Kama ungeandika;Magufuli ni miongoni mwa maraisi wa Tanzania wenye upendo sana,ungepungukiwa nini!?
 
Mm inafika hatua nashindwa kuamini kama kweli Nyerere aliliona hili miaka mingi nyuma mpaka inafikia hatua nahisi kama watu wanamlisha maneno (wanamsemea)


Mkuu alisema maneneo yanayofanana na hayo, inasadikika kuna makabila aliyahisi kuyakandamiza mengine endapo yangepewa madaraka makubwa
 
Umesahau kua Kuna watu waliambiwa kua tetemeko sikulileta Mimi, Kuna watu waliobomolewa majumba kule mbezi ya kimara na kuachwa wasijue hata pa kwenda , acha kujitoa ufaham, njaa mbaya sana
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na kwamba hizo habari za Mungu si hadithi za wanasiasawa kale tu?
 
Pambana Mkuu, vijana wenzio wanakula "BATA" tu. Umechelewa sana kuanza kusifia, leo hii pengine ungekua kama Gambo, Makonda n.k
 

Mcheza kwao hutuzwa !
Sina uhakika kama ... WAHANGA.... watakubaliana nawe. Langu moja tu linahusiana na MSHIKAMANO wa Wadanganyika wote through UMOJA, hususani KISIASA. Mfano mdogo huu hapa, nanukuu yalosemwa jana kuhusu Rais Kenyatta,

"President Kenyatta has praised Raila Odinga as the most mature politician in the Kenyan politics. The President has urged all leaders to emulate the opposition chief and support the government achieve the big four agenda.
“My brother Raila Odinga has passed the maturity test and it is our responsibility as other leaders to emulate him. Political stability in the country will help us achieve a lot as it is being witnessed right now” Kenyatta stated.
Mr Kenyatta has also challenged those in government to perform their roles without necessarily having to politicize everything. “Wananchi will judge you in the end. Endelea kuzembea utakiona cha mtema mkuni” Kenyatta added.

Naam, POLITICAL STABILITY! Ya cheap popularity yanabaki mepesi mepesi tu. Chema hujiuza au siyo? Kibaya je?
 
Ni kweli anatembea na fedha nyingi mfukoni akiwapa maskini ila wafanyakazi hataki kusikia shida zao kuwaongeza mishahara yaani bora atumie fedha nyingi kwa ajili ya Chato lakini asiongeze mishahara huu ni upendo wa Agape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…