Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

Thanks but thanks to google it was so fast. Enjoy reading.


Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.


Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kufanikiwa kukuza uchumi wa nchi yetu na kuifanya, Tanzania ya Viwanda kufanikiwa, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali



Kwa muda wako kaka
 
Mungu awarehemu.
 
As usual...

Paskali is on his knees providing lip service to the regime!

Naona una sanitize na deodorizing the regime!

No matter how much you shine shit always will be shit!

Goddamn,it feels miserable to be Paskali!
 
Wacha kudanganya watu wewe.
Tunaamini kila rais aliyepita alikuwa na mapenzi na watanzania.
 
Kuna kipindi Magufuri alisema Mayalla kwa kisukuma ni njaa labda alimpatia chakula akashiba sasa kavimbiwa anabeua tu!!!!
 
"Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli"- Huu ni Ukweli Kab, Tumuombee Upendo Huu Uenee Kote TZ.

Mwombe radhi Hayati Mwl. Nyerere, ali risk uhai wake kwaajili ya watanzania akipigania uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…