Tanzania haijawa isolated na mtu yeyote,ila inaonekana TZ haitaki kutekeleza vitu kama visa,work permit,customs etc sasa wao wanataka acheni wafanye vitu vyao na hakuna mtu ameishikia TZ bunduki lazima wafanye hayo na wanaolalamika seems ni TZ eti wanatengwa wakati hawataki kutekeleza chochote ..ndio maana ikaitwa collition of the willing,hakuna kulazimishana na TZ haitaki which is fine,let them do their thing zile ni nchi huru zina maamuzi yake.