nahisi hujanielewa kabisa,,maisha yangu binafsi niko well off,i am the boss for real,but kuwa tajiri katika nchi ya kifisadi hakunipi furaha,
kuwa tajiri na kuzungukwa na maskini ni hatari na sio furaha kabisa,
kuishi katika nchi yenye watu wanaolalamika kutwa inaboaaa sana,hata kama we ni milionea...
boss, are you really serious au unacheza tu hapa ukumbini? Kwanini huwi member wa ccm na ukagombea ubunge kwenye uchaguzi ujao?
Ukifika bungeni kuwa machachari kidogo tu na katika bajeti zuia shilingi moja ya wizara hii na ile na utakuwa ushaukata, kwani baadae utachaguliwa kama mwenyekiti wa kamati fulani na stress yako itakuwa imekwisha. I am not joking at all. Waulize waliopita njia hii kama bado leo wanazo-stresses.
Hunahaja ya kuhama nchi. Unadhania utapata wapi nchi nzuri kama hii? Hata ukiiba hapa nchini hukamatwi - atakamatwa tarishi wako, sasa kwanini unataka kuhama?
there are plenty of opportunities to make you thrive in life in this same poor country of yours. The most important thing is how you play your cards. I believe you still have a lot of future ahead of you. My only piece of advice for you is that don't give up man. The nastiest thing one can do in life is to give up. Remain assured that the most common and immediate event to happen for people who give up in life is going mad. So choose between going crazy or keep on struggling with a hope that one day things will work out fine in favour of you. In fact, in my opinions, the signs of you going mad are ready in place. Leo unafikiria kuikimbia nchi yako kesho utafikiria kuwakana hata wazazi wako eti kisa hujatoka kishikaji. Acha hizo mtoto wa kiume. Hata neno la bwana linasema mtoto wa kiume utakula kwa jasho na mdada atazaa kwa uchungu!
it is a good country.
good governance
it is not about me,i am so rich for tanzanian standard,it is
about the whole country.....
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka watawala ndo kama viziwi,
Nahisi afya yangu itaathirika nikiendelea kuwa so concern na hali ya nchi hii inavyokwenda, i feel like quiting, labda sio lazima kuendelea kuwa mtanzania, labda nitafute nchi nyingine nihamie, hata huko ntakapohamia kukiwa na mambo kama haya,at least nitasema moyoni hii sio nchi yangu ya asili,may be i will feel beter.
But tanzania hii inavyokwenda, i cant bear it no more, nimekubali kushindwa,hii nchi imenisaliti, i deserve better than just kuongelea ufisadi kila siku, i need to be happy and optimistic about the future,
dear boss,
if you are really a boss of your institution and so rich for tanzanian standard, then do something to reduce misery at least around your immediate surrounding. Namjua mtanzania mmoja ambae alikuwa na hisia hizo hizo kama zako juu ya nchi yake na baada ya muda aliamua kuwaezekea mabati majirani zake wote, kwani alikuwa akiungulika pale alivyokuwa akiwaona siku za mvua za vuli wanavyoteseka kwa umaskini ndani ya vibanda vya makuti walivyokuwa wakiishi.