Nafikiria kuhamia Botswana
Nafikiria kuhamia Botswana
Botswana is experiencing one of the most severe HIV/AIDS epidemics in the world. The national HIV prevalence rate among adults ages 15 to 49 is 24.1 percent, which is among the highest in sub-Saharan Africa.
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu
Mmmh, there is a truth in this.
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka watawala ndo kama viziwi,
Nahisi afya yangu itaathirika nikiendelea kuwa so concern na hali ya nchi hii inavyokwenda, i feel like quiting, labda sio lazima kuendelea kuwa mtanzania, labda nitafute nchi nyingine nihamie, hata huko ntakapohamia kukiwa na mambo kama haya,at least nitasema moyoni hii sio nchi yangu ya asili,may be i will feel beter.
But tanzania hii inavyokwenda, i cant bear it no more, nimekubali kushindwa,hii nchi imenisaliti, i deserve better than just kuongelea ufisadi kila siku, i need to be happy and optimistic about the future,
Tatizo siyo Tanzania ni wewe mwenyewe! Kama unapata ugojwa wa moyo kwasababu ya kufikiria nchi lazima uelewe unamatatizo na unatakiwa kuwaona wataalamu wakusaidie.Tusisingizie kila kitu nchi Watanzania tuna matatizo mengi ya kibinafsi ni watu wakulalamikia sana serikali.
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka watawala ndo kama viziwi,
Nahisi afya yangu itaathirika nikiendelea kuwa so concern na hali ya nchi hii inavyokwenda, i feel like quiting, labda sio lazima kuendelea kuwa mtanzania, labda nitafute nchi nyingine nihamie, hata huko ntakapohamia kukiwa na mambo kama haya,at least nitasema moyoni hii sio nchi yangu ya asili,may be i will feel beter.
But tanzania hii inavyokwenda, i cant bear it no more, nimekubali kushindwa,hii nchi imenisaliti, i deserve better than just kuongelea ufisadi kila siku, i need to be happy and optimistic about the future,
Nimeipenda sana thread hii, ina ujumbe muafaka, imetulia, inaililia "nji hii", ina uzalendo, nisiseme sana lakini mawazo kama haya ndizi sisi wa enzi enzi za mwalimu tunapenda kuona, JF itapanuka zaidi kwa mawazo zaidi kama haya. wadau naomba mnielekeze namna ya ku post a new thread pse!. nina thread nyingi sana lakini sijui nianzeje!
Kila sehemu kuna matatizo yake, botswana mtu mmoja katika kila wanne walio kati ya miaka 25 na 49 ana HIV.
Taja nchi nyingine.
http://en.wikipedia.org/wiki/AIDS_in_Botswana
Boss, are you really serious au unacheza tu hapa ukumbini? Kwanini huwi member wa CCM na ukagombea ubunge kwenye uchaguzi ujao?
Ukifika bungeni kuwa machachari kidogo tu na katika bajeti zuia shilingi moja ya wizara hii na ile na utakuwa ushaukata, kwani baadae utachaguliwa kama mwenyekiti wa kamati fulani na stress yako itakuwa imekwisha. I am NOT joking at all. Waulize waliopita njia hii kama bado leo wanazo-stresses.
Hunahaja ya kuhama nchi. Unadhania utapata wapi nchi nzuri kama hii? Hata ukiiba hapa nchini hukamatwi - atakamatwa tarishi wako, sasa kwanini unataka kuhama?