Tanzania Explains Why It 'Embarrassed' Kenyan Minister

There is no need to make some other explanations.... Those biased explanations from Kenyan journalist are enough for them.....

Thanks to Tanzanians officials....
 
What does not get well in my mind is how uninvited guest claims the right of been accommodated. I know there are so many incidents where discussions have been going on within several countries without interference from non invited country. Lets take example of a recent meeting between Uganda and Kenya on disputed fuel pipe line (forget about the coalition of the willing). This was a talk between the two states. We never saw Tanzanian neither Rwandan official intervention between the two. At least, if Kenyans wanted to participate in the Tanga meeting which they were not invited (according to themselves), they would have sent the request in advance. And indeed if they did, then they should show the proof of that. Otherwise, they will remain trumpet blowers.
 
Kenya should apologize (in writing) to Tanzania for their inept act of diplomatic thuggery. What they did here was very disrespectful to Tanzania's Sovereignty. You just can't piggyback on Uganda's delegation uninvited and later cry foul when kicked out.

Remember KENYA, as far as the oil pipeline is concerned, Tanzania and Kenya are competing teams. Discussions with a client (Uganda) are private matters. You just can't be privy to these discussions uninvited.

APOLOGIZE NOW, Nyang'aus.
 
ukurupukaji iko kwenye dna ya wasukuma? sasa kuwazuia kumetusaidia nn?

Imetujengea heshima yetu. Huwezi kuvumilia watu baki kuingia sebuleni, jikoni, msalani, hadi chumbani kwako bila kukaribishwa. Hawa walikuwa wanatujaribu kuona kama sisi ni wakali kiasi gani. Wangefanikiwa na hili basi wangetutia vidole machoni siku za usoni.

Waswahili wanasema "Akumulikae mchana, Usiku atakuchoma." Hawa walipaswa kupewa somo hili kavu kavu kipindi hiki.

Safi sana.
 
Kumbuka JPM anaenda kenya na anapanda hadi kwenye majukwaa ya kisiasa (kampeni za ODM) na hatujawahi kusikia kanyang'anywa passport! Kuna kuingiliwa sebuleni, jikoni, msalani, au chumbani zaidi ya hivyo?
 
ukurupukaji iko kwenye dna ya wasukuma? sasa kuwazuia kumetusaidia nn?
Hivi wewe ni Mtanzania, inaonekana hata issue huijui unadakia makabila ya watu, hapa tuko kitaifa zaidi sio kichama. wa wapi wewe
 
Kumbuka JPM anaenda kenya na anapanda hadi kwenye majukwaa ya kisiasa (kampeni za ODM) na hatujawahi kusikia kanyang'anywa passport! Kuna kuingiliwa sebuleni, jikoni, msalani, au chumbani zaidi ya hivyo?

Kama sio Mtz nitakuelewa. Unatia aibu
 
Kumbuka JPM anaenda kenya na anapanda hadi kwenye majukwaa ya kisiasa (kampeni za ODM) na hatujawahi kusikia kanyang'anywa passport! Kuna kuingiliwa sebuleni, jikoni, msalani, au chumbani zaidi ya hivyo?
Kama alikwenda huko ni kuwa alialikwa. Kumbuka Magufuli na Raila ni marafiki.

Wewe unamuonaje JPM. Unadhani ni mtu wa kufukuzia minuso yule?
 
ukurupukaji iko kwenye dna ya wasukuma? sasa kuwazuia kumetusaidia nn?
Weye kweli pumbafu.lazima utakuwa nyag'au shenzitaipu.Hivi hujui kinacho ongelewa hapa? Kama umekurupuka jaribu kusoma UZI zilizopita kuhusu Huu mgogoro wa OIL PIPE LINE.
Faida ya huyo Msukuma kuwauzia hao wa Kenya ni kuwaambia hii nchi sio shamba la bibi Yao.
Tena Msukuma aliwaonea huruma
Angewatia ndani masaa 48.
Hapa ni kazi tu hamna lingine.
 
"State house official who spoke to the Standard "...

Who is that state house official?

Why is he/she not named?

What evidence did he/she provide to proof Kenya informed Tz on the visit?

Is there an evidence that the Kenyan deligates were cleared to visit into the port prior their arrival?

Kenyans, stop embarrassing yourselves!
 
Back
Top Bottom