Tanzania eti hakuna ajira! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania eti hakuna ajira!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Dec 22, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Kama Tanzania hakuna ajira kwa nini wazungu wanakimbilia kuja Tanzania?kufanya kazi??wageni wote,mtaa wakongo vibanda vya maji,kandambili,yeboyebo ni wachina!!msururu mwanzo wamtaa hadi mwisho!Jamani jamii ya wasomi rudini nchini tung'oe mfumo mbovu uliopo Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe!Wahindi,wachina,makaburu wanachuma nakutubakizia umasikini!!CCM imeshindwa kubadili mfumo wanchi tangu mabadliko ya globalization.
   
Loading...