Kwa kweli huyu Jamaa alikuwa Mwenyekiti wa Chama Cha CCM Kagera kwa Muda Mrefu sikujua aliteuliwa kijana hivyo 34yr old
Wengi walikuwa wanachaguliwa Wazee...
* Nakubaliana nae tunahitaji Social Security System kuwalipa kitu kama mishahara au marupurupu Wazee wetu
* Kasababu Ukiangalia Timothy Apiyo alivyokuwa Mfanya kazi baada ya Mda wa kuritire hakuwa na chochote alifuata JK Nyerere Politics kwahiyo hakujenga chochote, alikuwa masikini yaani peku, kijishamba watoto na wajukuu hapohapo -- shame...