Viongoz wa Tanzania:
Wanaweka pesa Uswis,
Wanatibiwa India,
Wanajenga London,
Wanawekeza U. S. A au S. Afrika,
Shopping Dubai,
Likizo na matanuz Paris na kuungama wanaenda Israel au Saudi Arabia lakini wakifa wanazikwa Tanzania,hivi Tanzania ni makaburini au?