NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
ndege tu za kawaida ni kikwazo sasa ya drone sijui itakuwaje, tanzania sehemu nyingi hazina ramani ya kueleweka
kuna maeneo kama kariakoo, upanga, ilala, magomeni(baadhi), mjini posta, kinondoni, mikocheni nk unaweza fanya hio kitu kwa kutengeneza mwenyewe adress kupitia ramani lakini kuna maeneo ni imposible sehemu kama tandale, mwananyamala kisiwani sjui jangwani au mbagala hutaweza, kwanza wataziiba ukimtumia mtu kitu wanachukua bidhaa na drone yake.
idea ni nzuri hasa ukichukulia foleni ilivyo kubwa itasaidia sana. kuhusu sheria nna uhakika hakuna ila uwezo wa kuwashawishi upo
Kama watu wanaweza kuangusha treni kuiba mizigo watashindwa kukitungua hiko ki-drone chako waibe hyo package?