Muda mwingine jaribu kuepuka kudhalilika kwa kukaa kimya.Eti kisomi zaidi hivi uko Tanganyika/Unguja hii ?
Jaribu kutafiti kabla hujabwabwaja Sheria hiyo Dhaifu wenu amekwisha saini 30 June 2013 ili kuweza kupata Pesa ya Safari za kuendelea kutembeza bakuli.
inahitaji uwendawazimu kuitetea ccm...
mwandishi Huyu ni kichaa
Tz daima nalo ni gazeti? Udaku mtupu mwanzo mwisho kama udaku wa machadema majukwaani
Kabla suala hili kutua bungeni lilipitia kwenye baraza la mawaziri na Rais Jk ni mwenyekiti hapo unasemaje?
Bunge lililopitisha ni Mibunge ya ccm kwa kura za ndiyoooooooo!!!!
Sasa hapo unaongea upumbavu gani wewe?
Chanzo ni ccm na ccm hii kodi itawagharimu
Inahitaji uwe na akili ya maiti kuitetea CCM.
Amka ndugu, kama ulikuwa haufahamu naomba nikufahamishe kuwa Rais ni sehemu ya BungeLets think Tank wandugu,,the fact kwamba Rais anachair kikao cha baraza la mawaziri haimaaniishi kuwa sasa anafnya kazi ya Bunge,,,kiutaratibu Bunge ndilo lenye kazi ya kupitisha na kutopisha miswada,,na Rais hawezi kusign bila ya bunge kupitisha....is that no so.Fikiria Rais amemteua Mkuu wa mkoa,,Mkuu wa Mkoa akaenda kubaka mwanamke mtaani,,Swali je Rais naye anakuwa amebaka?Nooooo
Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuingoa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwakilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.
Anaye sign ni Rais, na Rais bado hajasign sasa hapo lawama kuelekezwa kwake si upotoshwaji wa kesi nzima?
Hili moja ya magazeti yanayopinga Sana serikali.Nafikiri wanatakiwa kupinga bila kupandikiza chuki na utengano baina ya watz.
Tena siku yalipopitisha yalikuwa yatajwa na kusimama na kusema ndiyoooooo! Chadema kwa vile hawakuwepo, alipokuwa akitajwa wa Chadema yalikuwa yanasema "maandamano" Sijawahi kuona wabunge mapimbi kama wa CCM. Kila kitu kwao ni ndioooo!
Theoretically you are right but Practically not: do you want to declare that our Parliament is free from Executive interferences!!!!!! .Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuingoa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwakilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.
Baada ya sheria kupitishwa bungeni kabla haijaanza kutumika lazima kuna mtu anatakiwa kuisaini. swali je, ameshaisaini na je, mtu huyo ni nani? swali hili ni kwa mtoa mada. Jumapili njema ndugu.
.............100%Tena siku yalipopitisha yalikuwa yatajwa na kusimama na kusema ndiyoooooo! Chadema kwa vile hawakuwepo, alipokuwa akitajwa wa Chadema yalikuwa yanasema "maandamano" Sijawahi kuona wabunge mapimbi kama wa CCM. Kila kitu kwao ni ndioooo!