Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwakilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
Anaye sign ni Rais, na Rais bado hajasign sasa hapo lawama kuelekezwa kwake si upotoshwaji wa kesi nzima?Baada ya sheria kupitishwa bungeni kabla haijaanza kutumika lazima kuna mtu anatakiwa kuisaini. swali je, ameshaisaini na je, mtu huyo ni nani? swali hili ni kwa mtoa mada. Jumapili njema ndugu.
Mkuu lets be realistic na tuchambue mambo kisomi, the fact kwamba Rais alikuwepo kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri haimaanishi kuwa ndo aliridhia,,ndo maana mchakato huu baadae unaenda Bungeni,na baada ya bunge kupitisha yeye ndo anasign,,,that is how things work na ndo utaratibu.Ni vyema ungefanya kautafiti kidogo ili ujue namna Rais anavyohusika kwenye utaratibu mzima wa kuandaa mapendekezo yanayohusu kodi pamoja na mlolongo mzima unaofuatwa kabla ya kuwasilishwa bungeni. Ulichoandika ni kwa jinsi unavyofahamu/unavyojiaminisha wewe lakini sivyo ilivyo.
Lets think Tank wandugu,,the fact kwamba Rais anachair kikao cha baraza la mawaziri haimaaniishi kuwa sasa anafnya kazi ya Bunge,,,kiutaratibu Bunge ndilo lenye kazi ya kupitisha na kutopisha miswada,,na Rais hawezi kusign bila ya bunge kupitisha....is that no so.Fikiria Rais amemteua Mkuu wa mkoa,,Mkuu wa Mkoa akaenda kubaka mwanamke mtaani,,Swali je Rais naye anakuwa amebaka?NoooooKabla suala hili kutua bungeni lilipitia kwenye baraza la mawaziri na Rais Jk ni mwenyekiti hapo unasemaje?
Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuing'oa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwakilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.
Mkuu lets be realistic na tuchambue mambo kisomi, the fact kwamba Rais alikuwepo kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri haimaanishi kuwa ndo aliridhia,,ndo maana mchakato huu baadae unaenda Bungeni,na baada ya bunge kupitisha yeye ndo anasign,,,that is how things work na ndo utaratibu.
Mkuu lets be realistic na tuchambue mambo kisomi, the fact kwamba Rais alikuwepo kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri haimaanishi kuwa ndo aliridhia,,ndo maana mchakato huu baadae unaenda Bungeni,na baada ya bunge kupitisha yeye ndo anasign,,,that is how things work na ndo utaratibu.
Anaye sign ni Rais, na Rais bado hajasign sasa hapo lawama kuelekezwa kwake si upotoshwaji wa kesi nzima?
Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuingoa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwakilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.