Tanzania daima mmechemsha

mkuu umechemka, si nyinyi mnaamini ccm ina wanachama wengi?
kwa nini lisiongoze kwa mauzo? mpaka inafikia wanauza kwa mkopo na bado haliuziki

Nani kakwambia mwanachama maana yake ni mnunua gazeti?
 
Silence is wisdom....
 

Kwa hiyo wanaogombana na serikali au chombo chochote ndio mnaowafanyia mbinu zilizodaiwa Na Tanzania daima!
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku.
 
Hii imekaa kama ya mtu anayefikiri kwa kutumia masaburi, unatumika kama dodoki, haya sasa nenda kachukue posho yako. Na kama ni mwanaume nakuhurumia kweli maana wanaweza kufanya mke kwa kujirahisisha hivyo, ulaaniwe kabisa wewe popo mkubwa.
 
Mengi, Lowassa na Tanzania Daima wote wanatoka Kaskazini,
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku.

Sio Gazeti ni Kipeperushi cha Propaganda za Densa na misukule yake kilichosajiliwa kwa Mkuu wa Posta na kuingizwa kwenye Orodha ya magazeti!
 
Maneno mazito hayo yamesemwa nafikiri wanaolinda usalama wa nchi hii wamesikia. Sisi wananchi tunasubiria hatua zichukuliwe tena za haraka.
 
mleta THREAD amepoteza dira kama wauaji wenzake ndani ya ccm, tiss na huyo salva. mwisho wao mbona ni 2015 tu!!!
 
Bado unasoma Tanzania Daima? then do it "at your own risk"...

Mkuu, suggest gazeti la kusoma ili na sisi wengine tuelimike. Isije ikaw unakandia Tanzania Daima kumbe huna hata gazeti moja unalosoma! Uzuri wa kitu pawepo na kingine cha kulinganisha nacho.
 
Excuse me!! hii inahusikaje? mwisho mtasema kama fulani amezoea kuishi katika nyumba yenye rangi ya buluu ataweza kweli kuishi Ikulu yenye rangi nyeupe?
 

Tatizo unaleta propaganda huna taarifa za ndani wala ushahidi, mengi unayosema ni ya kufikirika tu. tatizo la pili ww hujui system inavyofanya kazi, mtu hutumiwa kama silaha ikimaliza kazi si ajabu kuteketezwa

nakushauri rudi studio ukarekodi upya video yako labda tutakuelewa, maana kwa sasa naona chenga chenga tu hamna picha
 
Nchi
hii kweli imejaa wendawazimu hivi ni nani hajui kuwa mengi
amekuwa kwenye mgogoro mkubwa na serikali tangu alipotaja hadharani makada 5 wa magamba
mafisadi papa?

Mkuu.
Kuna watu ni wendawazimu kuliko tunavyo fikiri! Hivi kama Mengi anapendwa sana na serikali hii, kulikuwa kuna sababu gani kwa viongozi wa serikali hii hii inayompenda Mengi kutaka kumbambikizia mwanae wa kumzaa madawa ya kulevya pale airport?! Kwani ukipenda boga si tunaambiwa upende na ua lake?! Sasa inakuwaje umpende Mengi halafu umteketeze mwanae wakai unajua kumteketeza mtoto wa Mengi ni kumteketeza na Mengi mwenyewe?!

Hapa naona mleta mada amekosa sifa ya u-great thinker.
 
Join Date : 8th June 2012
Posts : 12
Rep Power : 343
Likes Received0
Likes Given0


Mkamanda msijibu andiko hili, huyu jamaa anataka kucheki zali na kupata faida. Silence is wisdom....

we ndio kilaza kweli. Kamanda gani unaye ogopa vita.? Kama huna hoja kaa kimya kuliko upuuzi hapa. Mtu kaleta hoja ajibiwe kwa hoja.
 
Kwa hiyo wanaogombana na serikali au chombo chochote ndio mnaowafanyia mbinu zilizodaiwa Na Tanzania daima!

Hiyo haina shaka maana amefafanua vizuri kwenye maelezo yake kuhusu mzee mengi na kwa hiyo inathibitisha kuwa serikali ndio ilimfanyizia ulimboka na wengineo ambao walikuwa na mgogoro na serikali.
 
we ndio kilaza kweli. Kamanda gani unaye ogopa vita.? Kama huna hoja kaa kimya kuliko upuuzi hapa. Mtu kaleta hoja ajibiwe kwa hoja.
Umejitambua lakini? Kwanza wewe ni Kamanda, tangulia huko ulikokzoea utawakuta! Makamanda tunazijua mbinu zenu za kutaka Ku-create!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…