Tanzania daima mmechemsha

Tanzania daima mmechemsha

mkuu umechemka, si nyinyi mnaamini ccm ina wanachama wengi?
kwa nini lisiongoze kwa mauzo? mpaka inafikia wanauza kwa mkopo na bado haliuziki

Nani kakwambia mwanachama maana yake ni mnunua gazeti?
 
@Mpenda Posho kwanza usituchanganye na wala usitudanganye, huyu jamaa ndiye kamwaga vyote Bila chenga msitake tukaingia kiundani km CDM mmeshikwa bapaya kubalini, Watu wanawasaidia mnasema tusichangie
Hapo No. 2 huyo injinia ni R. Mawalla wako naye huyo Mbunge hata Bungeni anahudhuria kwa sasa ni kipindi cha pili na bado ni mkwe wa kiongozi wenu,
Ngoma usioijua iache hapohapo sisi tuangalie wachezaji dira mwaga ugali kabisa
hayo ya kina Jesse na Neville sijui km uzi huu utaendelea maana imeponyoka hadi majumbani
Silence is wisdom....
 
Nimesoma kwa masikitiko makubwa habari zilizoko kwenye gazeti la tanzania daima yenye kichwa cha habari lowassa na mengi kufanyiziwa kama lwakatware.


....Mengi

Hakuna sababu yoyote itakayopelekea kwa bw. Mengi kufanyiwa mbinu kama lilivyodai gazeti la tanzania daima maana hajawahi hata siku moja kugombana na serikali wala chombo chochote hapa nchini. Ikumbukwe umaarufu wake ndani ya nchi hii ulibainika pale aliokuwa mmoja wa tu maarufu kukaa nyuma ya rais kikwete akiapishwa wakati viongozi wengine wakiwemo marais wastaafu wakiwa mbali kabisa. Hivyo habari hiyo ni ya kipuuzi yenye lengo la kumgombanisha mengi na serikali ya rais kikwete ... .

Kwa hiyo wanaogombana na serikali au chombo chochote ndio mnaowafanyia mbinu zilizodaiwa Na Tanzania daima!
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku.
 
Hii imekaa kama ya mtu anayefikiri kwa kutumia masaburi, unatumika kama dodoki, haya sasa nenda kachukue posho yako. Na kama ni mwanaume nakuhurumia kweli maana wanaweza kufanya mke kwa kujirahisisha hivyo, ulaaniwe kabisa wewe popo mkubwa.
@Mpenda Posho kwanza usituchanganye na wala usitudanganye, huyu jamaa ndiye kamwaga vyote Bila chenga msitake tukaingia kiundani km CDM mmeshikwa bapaya kubalini, Watu wanawasaidia mnasema tusichangie
Hapo No. 2 huyo injinia ni R. Mawalla wako naye huyo Mbunge hata Bungeni anahudhuria kwa sasa ni kipindi cha pili na bado ni mkwe wa kiongozi wenu,
Ngoma usioijua iache hapohapo sisi tuangalie wachezaji dira mwaga ugali kabisa
hayo ya kina Jesse na Neville sijui km uzi huu utaendelea maana imeponyoka hadi majumbani
 
Mengi, Lowassa na Tanzania Daima wote wanatoka Kaskazini,
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku.

Sio Gazeti ni Kipeperushi cha Propaganda za Densa na misukule yake kilichosajiliwa kwa Mkuu wa Posta na kuingizwa kwenye Orodha ya magazeti!
 
Maneno mazito hayo yamesemwa nafikiri wanaolinda usalama wa nchi hii wamesikia. Sisi wananchi tunasubiria hatua zichukuliwe tena za haraka.
 
mleta THREAD amepoteza dira kama wauaji wenzake ndani ya ccm, tiss na huyo salva. mwisho wao mbona ni 2015 tu!!!
 
Bado unasoma Tanzania Daima? then do it "at your own risk"...

Mkuu, suggest gazeti la kusoma ili na sisi wengine tuelimike. Isije ikaw unakandia Tanzania Daima kumbe huna hata gazeti moja unalosoma! Uzuri wa kitu pawepo na kingine cha kulinganisha nacho.
 
Hata kwayu ndiyo hafai kabisa maana kama alishindwa kumdhibiti mkewe asizae na mwanamume mwingine, atawezaje kuchunguza, hapa ni bure tu na pia alishiriki kuwapokea magaidi kutoka mombasa waliomdhuru kibanda, tayari taarifa ziko ni sawa na kuchukua kesi ya tumbili na kumpelekea nyani aiamue.

Meena nae .
Excuse me!! hii inahusikaje? mwisho mtasema kama fulani amezoea kuishi katika nyumba yenye rangi ya buluu ataweza kweli kuishi Ikulu yenye rangi nyeupe?
 
Nimesoma kwa masikitiko makubwa habari zilizoko kwenye gazeti la tanzania daima yenye kichwa cha habari lowassa na mengi kufanyiziwa kama lwakatware.


Nasema nasikitika maana ni habari za uongo na za kizushi haswa ikitiliwa maanani umaarufu wa watu hawa wawili ndani ya nchi hii, yaani mengi na lowassa, na uaminifu wao kwa serikali ya tanzania.

Kwanza nipende kuwajulisha ya kuwa habari hizi zimetengenezwa na watu ambao tayari wameshaanza kupata hofu kwa vile mbinu zao chafu dhidi ya serikali iliyoko madarakani na baadhi ya watu maarufu zimefichuka.


Kabla zijaenda mbali napenda kuwauliza jesse kwayu wa nipashe na neville meena wa mwananchi ni kwanini wao hawakuandika habari hiyo na kumuachia mhariri wa tanzania daima mwenyewe wakati waliitunga wote? Huu ni unafiki.

Wakumbuke ya kuwa wakipanga jinsi ya kuitengeneza hiyo habari pale kweye hoteli moja maarufu, wenye mapenzi na nchi hii waliwaona na kufuatilia kila kitu.

Mengi

Hakuna sababu yoyote itakayopelekea kwa bw. Mengi kufanyiwa mbinu kama lilivyodai gazeti la tanzania daima maana hajawahi hata siku moja kugombana na serikali wala chombo chochote hapa nchini. Ikumbukwe umaarufu wake ndani ya nchi hii ulibainika pale aliokuwa mmoja wa tu maarufu kukaa nyuma ya rais kikwete akiapishwa wakati viongozi wengine wakiwemo marais wastaafu wakiwa mbali kabisa. Hivyo habari hiyo ni ya kipuuzi yenye lengo la kumgombanisha mengi na serikali ya rais kikwete ili ionekane ya kuwa yuko upande wa upinzani haswa chadema. Pia ikumbukwe ya kuwa kwenye kikao cha chadema pale arusha hivi karibuni moja wapo ya ajenda za siri ni jinsi ya kupambanisha mengi na serikali na mbowe akatoa rai akisema, "mipango yote dhidi ya mengi ipangeni lakini msimuue maana ni mjomba wangu", mwisho wa kumnukuu, leo iweje gazeti la mbowe na chadema limuonee huruma, huo ni upuuzi na mbinu za kijinga.

Lowassa

Huyu alikuwa ni waziri mkuu n kwa sasa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya bunge, hivi inaingiaje akilini apangiwe njama kama hii, ili iweje? Ikumbukwe kwa nafasi yake ni mmoja wa washauri wa rais katika maswala ya usalama katika nchi hii, hivyo mbinu ya kitoto iliyofanywa na tanzania daima haina mashiko kwa watu wenye akili timamu.

Chadema waache kutapatapa baada ya mbinu zao za kutaka kuiangusha serikali kugundulika, wasidhani serikali ilikuwa imelala kama wanavyodai viongozi wake akiwemo wilbrod slaa na ambae tayari ashapangiwa mmbinu ya kuondolewa ukatibu mkuu ifikapo desemba mwaka huu. Cha ajabu na uosmi wake owte hata yeye ameshirikishwa akaona sababu zilizotolewa ni za kweli kumbe mbowe hamataki tena kwa vile anapingana na mbinu za chadema za kuaka kuipindua serikali hivyo slaa, halima mdee, grace kiwelu na jafari michael, wamepangiwa mbinu za kuwang'oa bila ya kujua na hata jafari michael ambae ni meya wa huko kilimanjaro, amekiri ya kuwa slaa anang'olewa.

Chadema pia wakae wakijua mbinu zao za kutaka kuwaangamiza baadhi ya viongozi wa kisiasa wakiwamo wale wa chama chao wenyewe ushajulikana, hivyo mbinu za kudai kuwa kuna mbinu za kuwachafua wanasiasa wanazoendelea nazo sasa hazina mashiko yoyote.

Ikumbukwe ya kuwa taarifa zishaenea ya kuwa waliolengwa kuangamizwa na chadema kwa kutumia magaidi kutoka mombasa kenya ni wafuatao:

1. Mwigulu mchemba – ccm
2. Grace kiwelu – chadema, huyu kosa lake ni kwamba ana mahusiano ya kiunyumba na mtu alie karibu na lowassa ambapo inadaiwa ya kuwa siri nyingi za chadema zimetolewa na grace na kupelekwa ccm kupitia mpenzi wake huyo ambae ni tajiri msanifu majengo, baada ya hilo kujulikana, leo chadema kupitia gazeti lao wanajikosha likijidai kumuonea huruma lowassa, kumbe ni janja yao imejulikana ya kutaka kupammbana na grace
3. Jafari michael – chadema, meya wa kilimanjaro
4. Kuna shehe mmoja anaeitwa makusanya kutoka kanda ya ziwa
5. Makatibu kadhaa wa uv ccm wa mikoa
Chadema tayari wanakikosi cha vijana waliotayarishwa kwa ajili ya kazi hiyo pamoja na kufanya mauaji na kujeruhi watuw akati wa maandmano ambayo watayaitisha sehemu mbalimbali hapa nchini kwa kuanzia na mbeya ambayo wameyahairisha hadi mwishoni mwa mwezi wa machi baada ya maajenti wao walioko mombasa na nairobi kuomba udhuru ili waangalie hali itakavyokuwa huko kenya baada ya uchaguzi na baada ya cord kuwasilisha pingamizi yao dhidi ya ushindi wa kenyatta.

Jesse kwayu na neville meena si waaminifu na hata kwenye hiyo tume waliyowekwa kuchunguza kiendo alichofanyiwa kibanda hawakustahili kuwepo. Hawa ndiyo walipanga waziri nchimbi aende kwenye maandamano ya kulaani kuuwawa kwa mwangosi ili akaibishwe na walifanikiwa maana kilichotokea mmesikia.

Na hawa ndiyo walipinga viongozi wa utpc kushirikishwa katika tumeya kuchunguza alichofanyiwa kibanda kwa madai ya kuwa rais, makamu wake jane mihani na mkurugenzi wa utpc karsan ni ccm dmu hivyo mipango yao itakwama, hapo ni wazi hakuna haki.


Hata kwayu ndiyo hafai kabisa maana kama alishindwa kumdhibiti mkewe asizae na mwanamume mwingine, atawezaje kuchunguza, hapa ni bure tu na pia alishiriki kuwapokea magaidi kutoka mombasa waliomdhuru kibanda, tayari taarifa ziko ni sawa na kuchukua kesi ya tumbili na kumpelekea nyani aiamue.

Meena nae anafanya mipango kila siku kumg'oa tido kamaalivyotaka kumng'oa makunga akachomoa, hawezi kutenda haki kwenye tume kama hiyo badala yake watatengeneza madudu tu .

Tatizo unaleta propaganda huna taarifa za ndani wala ushahidi, mengi unayosema ni ya kufikirika tu. tatizo la pili ww hujui system inavyofanya kazi, mtu hutumiwa kama silaha ikimaliza kazi si ajabu kuteketezwa

nakushauri rudi studio ukarekodi upya video yako labda tutakuelewa, maana kwa sasa naona chenga chenga tu hamna picha
 
Nchi
hii kweli imejaa wendawazimu hivi ni nani hajui kuwa mengi
amekuwa kwenye mgogoro mkubwa na serikali tangu alipotaja hadharani makada 5 wa magamba
mafisadi papa?

Mkuu.
Kuna watu ni wendawazimu kuliko tunavyo fikiri! Hivi kama Mengi anapendwa sana na serikali hii, kulikuwa kuna sababu gani kwa viongozi wa serikali hii hii inayompenda Mengi kutaka kumbambikizia mwanae wa kumzaa madawa ya kulevya pale airport?! Kwani ukipenda boga si tunaambiwa upende na ua lake?! Sasa inakuwaje umpende Mengi halafu umteketeze mwanae wakai unajua kumteketeza mtoto wa Mengi ni kumteketeza na Mengi mwenyewe?!

Hapa naona mleta mada amekosa sifa ya u-great thinker.
 
Join Date : 8th June 2012
Posts : 12
Rep Power : 343
Likes Received0
Likes Given0


Mkamanda msijibu andiko hili, huyu jamaa anataka kucheki zali na kupata faida. Silence is wisdom....

we ndio kilaza kweli. Kamanda gani unaye ogopa vita.? Kama huna hoja kaa kimya kuliko upuuzi hapa. Mtu kaleta hoja ajibiwe kwa hoja.
 
Kwa hiyo wanaogombana na serikali au chombo chochote ndio mnaowafanyia mbinu zilizodaiwa Na Tanzania daima!

Hiyo haina shaka maana amefafanua vizuri kwenye maelezo yake kuhusu mzee mengi na kwa hiyo inathibitisha kuwa serikali ndio ilimfanyizia ulimboka na wengineo ambao walikuwa na mgogoro na serikali.
 
we ndio kilaza kweli. Kamanda gani unaye ogopa vita.? Kama huna hoja kaa kimya kuliko upuuzi hapa. Mtu kaleta hoja ajibiwe kwa hoja.
Umejitambua lakini? Kwanza wewe ni Kamanda, tangulia huko ulikokzoea utawakuta! Makamanda tunazijua mbinu zenu za kutaka Ku-create!!!!
 
Back
Top Bottom