Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Katika karatasi za ndani za gazeti la Tanzania Daima la leo Waziri wa Mambo ya nje imeripotiwa kuwa alionja joto la jiwe...................
Hii sasa itakuwa ni mara ya pili kwa Mheshimiwa huyu ambaye ni kipenzi cha kutetea utawala wa kifisadi wa JK na CCM yake kuwekwa kiti moto.......kuanzia kule Mwanza na maaskofu waliposambaratisha hoja zake za kulea uozo ndani ya CCM...............Hivi ni lini Membe atazisoma alama za wakati zisemazo.............."Tanzania bila ya CCM yawezekana?"