Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,454
Wadau hizi ni habari ambazo napata taabu sana kuzithibitisha lakini zaweza kuwa hadharani mda wowote kuanzia sasa, kuna mdau wangu aliye ndani ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamduni na Michezo, katustua kwamba kuna kikao cha dharula kimekaliwa pale wizarani kila mjumbe aliye kikaoni ameshika Gazeti la Tanzania Daima, inajadiliwa kama wanaweza kulitafutia sababu na kulifungia kwa sababu zozote zile mojawapo ikiwa ni kwamba limetoa namba za simu na mienendo ya mawasiliano ya watu hii leo kwa kubandika walaka wa Malando na kuzitoa namba za simu kwa ukamilifu bila kuwa na idhini ya wahusika hasa ukichukulia mawasiliano ya mtu ni Faragha.
Naombeni mnaojua miiko ya uandishi wa habari mnifumbue kama waraka wa Mabele uliotolewa na Tanzania Daima ni makosa ya Magazeti au Mabele.
Naombeni mnaojua miiko ya uandishi wa habari mnifumbue kama waraka wa Mabele uliotolewa na Tanzania Daima ni makosa ya Magazeti au Mabele.