Tanzania Daima Kuweni Makini

Tanzania Daima Kuweni Makini

Kama sio makusudi basi mna kila sababu ya kujipanga upya.
Mbaya zaidi ndio leading story !!!

utaediti saa ngapi wakati unataka lifike mapema uuze...lingekuwa tusi sijui ingekuwaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!edita ajiuzulu...mbowe ni mpenzi wa hii falsafa...kosa dogo....flani awajibike...ajiuzulu
 
Kama na wewe umeweza kusahihisha basi heading imeeleweka huwezi kujadili vitu vidogo vya typing error mkaacha ufusadi wa masisiem na vizazi vyao,watu wa dizaini hii ya mleta mada ndio mtaji mkubwa wa magamba

Huoni kuwa wakisahihishwa ndio watakuwa wazuri zaidi?
Kumbuka Tanzania Daima ndio gazeti pekee lililobaki baada ya mengine kufungiwa na mengine kununuliwa na hao magamba unaowasema.

NB:
Na wewe pia nimekusahihisha, samahani lakini.
 
Kama sio makusudi basi mna kila sababu ya kujipanga upya.
Mbaya zaidi ndio leading story !!!

Kwani hapo Tanzania Daima wamekosea nini au mimi sijui kusoma? Kama ni hii habari ya vijana 11 kunaswa wakiwa porini wakipewa mafunzo ya namna ya kuua watu kwa kuwachinja mbona iko wazi katika vyombo vya habari? Unataka wawe makini kivipi, je wasitutahadharishe sisi wananchi kuhusu huo ugaidi?
 
Back
Top Bottom