Hapo sikuekewi nimemsikia RPC wakati tunarudi home akihojiwa Clouds FM na E.Kibonde na kukiri kuwa ni yeye aliyetoa taarifa hizo akaenda mbali kuwataja majina wote.....sasa gazeti hilo linashida gani...jamani...duuu watu wanawashwa kuandika jipange kabla ya comment mbele ya wanaume.
Nashukuru kwa kuonyesha ulichomaanisha.The heading of a leading story.
"Vijana 11 Wanaswa wakijifunza UGADI"
Sio kweli !
Ni gazeti makini sana.
Ila kuna mapungufu ya kurekebisha.
Kama na wewe umeweza kusahihisha basi heading imeeleweka huwezi kujadili vitu vidogo vya typing error mkaacha ufusadi wa masisiem na vizazi vyao,watu wa dizaini hii ya mleta mada ndio mtaji mkubwa wa magamba...Duh! Kweli Kukosa Umakini ni Janga Mojawapo la Kitaifa!! Kwamba hata Hapa JF Idadi kubwa ya Wachangiaji Imekosa Umakini wa Kuona kuwa Mleta Uzi alikuwa anakosoa kukosa Umakini wa TDaima wa kuandika kichwa cha habari chenye neno UGADI badala ya UGAIDI....!!!
Mleta uzi, shida iko wapi? Mbona karibu vyombo vyote vya habari vimeripoti hi kitu? Tena walikua na CD za Al Quida, Al shaabab na sijui kile kingine kinaitwaje sijui, sasa sijaelewa, complain yako iko wapi kwenye hilo gazeti! Naomba ku-declaire interest, hili kwangu ndio gazeti chaguo No 1 kw ayale yanayotoka kila siku then Mawio na Raiamwema kwa yale ya kila wiki. Na tokea nimeanza kusoma gazeti hili, sijawahi kujilaumu![/QUOTE
mkuu kuna typing error kwenye neno UGADI badala ya ugaidi, ndo hilo mkuu
hata mie ndo gazeti langu pendwa