Tanzania currency

Tanzania currency

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
😕ipi ilikua ngumu kuipata
 

Attachments

  • 1447181895094.jpg
    1447181895094.jpg
    18.5 KB · Views: 536
  • 1447181929353.jpg
    1447181929353.jpg
    16.6 KB · Views: 447
  • 1447181944713.jpg
    1447181944713.jpg
    15.2 KB · Views: 428
  • 1447181958180.jpg
    1447181958180.jpg
    19 KB · Views: 417
  • 1447181985968.jpg
    1447181985968.jpg
    23.6 KB · Views: 441
Hiyo blue enzi zake ilikuwa na heshma kweli kweli! Na ilikuwa ngumu sana kuikamata na ukiikamata unaweza hangaika maduka kadhaa kutafuta change!
 
Hiyo blue enzi zake ilikuwa na heshma kweli kweli! Na ilikuwa ngumu sana kuikamata na ukiikamata unaweza hangaika maduka kadhaa kutafuta change!

nakumbuka enzi hizo kwanza ilikua ngumu kuikuta imechakaa.. kwa kua mzunguko wake ulikua mdogo sana
 
Nimezimis hizo noti. Hiyo bluu ukiwa nayo enzi hizo heshima debe
 
Blue ndio kwanza Mr blue kaikuta mwishoni mwishoni akatoa single ya blue
 
Back
Top Bottom