Tanzania Crashes G-8 Summit

Hii inawezekana kwa Kikwete
kwani mnashangaa mnadhani matokeo ya kujikomba komba kila siku ni yapi ndio haya sasa

BabaH Kikwete anakuwakilisha wewe, kama kapata aibu ni katika jitihada za kuhakikisha kuwa maisha ya watanzania yanakuwa a little better.Hakuna kujikomba hapo.
 
Jitihada za kuhakikisha kuwa maisha ya watanzania yanakuwa a little better.

Hivi tukiwabana Mafisadi wakaacha kutuibia kweli maisha ya mtanzania hayawezi kuwa mazuri hata zaidi ya baadhi ya nchi zilizoendelea? Tunachokosa nini mpaka tuanze kuaibika?

Inabidi tutafute njia za kuachana na hawa mabwana na angalau tusiwategemee kwa kila kitu. Hii inawezekana jokes inawezekana ni kwa sababu Jk ajampa support Bush katika kutaka kurusha makombora Zimbabwe.

Yeye alitaka amalizie kabisa kabla ya kutoka madarakani.
 
Kama NI KWELI MIKATABA ITAVUNJWA NA WAHUSIKA KUCHUKULIWA HATUA...Basi sishangai kama wakimwonyesha JK madharau!

Hii inawezekana kabisa ikawa kweli kwani ndio TABIA ZAO ZA KINAFIKI!

Hata KAULI KALI KALI DHIDI YA ZIMBABWE HUKO WALIMWACHIA MJERUMANI APIGE KELELE KWASABABU JK akishawaambia kumove FORWARD SI VITA BALI MAZUNGUMZO..NA WAAFRIKA NDIVYO WANAVYOTAKA EXCEPT FOR TSIVANGIRAI NA MABWANA ZAKE!

Jmushi1 na lugha zake!!!
 
Fanya uamuzi wa kuamini hii habari baada ya kutembelea hii blog:carbolicsmokeblog.blogspot.com.
 
Binafsi baada ya kuipitia hiyo blog I have serious doubt kama hii habari ni ya kuaminika hata kwa asilimia moja!!
 
...ni blog ya mzaha mzaha kwa hiyo ni mizaha ya wazungu, ila Mtanzania unapokuta habari kama hii inayomhusu rais inakuwa sio mzaha tena.
 
TANZANIA CRASHES G-8 SUMMIT; FURIOUS WIFE OF JAPANESE HOST OVERHEARD BERATING HUSBAND: 'WHY DIDN’T YOU TELL ME TANZANIA WAS COMING?'



'. . . THIS IS GOING TO SCREW UP THE PLACE SETTINGS!'



(RUSUTSU, Japan) - A mild disturbance occurred at the G8 summit yesterday when Tanzania showed up at the G8 dinner dance uninvited. Tanzanian President Jakaya Kikwete told security personnel at the front door that “he happened to be in the area, and thought he’d drop in for a quick hello.” He then entered the hall, and, after applying a sticker that read “Hi, I’m Tanzania” to his lapel, took a seat between America and Great Britain.


“Nice to meet you, Tarzan,” said President Bush, before heading through the buffet line. “We put out quite a spread at these things.”


Speaking to reporters at the end of the evening, President Kikwete admitted he was disappointed with the chilly reception he received. “A lot of countries kept dropping little hints to me that I wasn’t welcome,” he said. "Germany asked me point blank: 'Did you know this was specifically advertised as industrial nations only?' I was fumbling for an answer, so I blurted out that a lion ate the mailman who was delivering my invitation, but she didn’t buy it. 'A lion ate your mailman?' she sneered, before walking away. That was not the worst of it. France and Russia kept walking by, and then burst out laughing. I watched them turn around, look back at me, and laugh again.”


President Kikwete remained optimistic that one day he wouldn’t have to sneak in to a G8 summit. “All we need is one factory in my country, and I’ll start the application process.”

Very embarassing for a president to face such an Incident. Ndio maana Nyerere alikuwa na misimamo yake isiyotetereka.Lakini hii ya kujipendekeza kila mahala haya ndio matatizo yake.Mbona mwenzie mbeki hatusikii yalompata?
 
Back
Top Bottom