Tanzania coverage in CNN tonight

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,382
18:30 London time kwenye CNN world kutakuwa na kipindi cha Inside Africa kikizungumzia Sokwe wa Tanzania
Stay tuned
 
nimekuja mbio nikadhani ni diplomatic bags au escrow
 
Hata mie nilijua ni mambo ya ndege wa rais wa China na mambo ya Yao Ming, hao kina Wa,,ha,,,ssi,,rrrra waendelee tu na mambo yao ya Gombe maana kuna mwenzao anataka urais labda nao watatengeneza taifa lao.
 
Aisee...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…