Tanzania confirms reflagging Iran oil tankers

marekani ilisema kuwa tanzaia imefanya hivo, wao wakakanusha na kuna wazriri wa zanzibar alitoa taarifa bungeni kuwa ni uongo na kuna kitu kama hicho..sasa leo wanasema ni kweli...basi naomba jaluo obama atie sain ile kitu ili tupate vikwazo vya kiuchumu
 
Usajiri wa meli hizo ulifanywa na mamlaka ya SMZ, SUMATRA iliwekwa pembeni, hivyo SMT haihusiki na hilo. Baada ya kashfa hiyo kuibuliwa, uongozi wa Zanzibar ulidiriki kueleza kuwa suala la kusajili meli si la Muungano.

All in all serikali ya Tanzania haiko katika control au ilijua na ilikuwa part of uozo huu.

Excuses are not very helpful to result oriented people.
 
hivi, SMZ inayoruhusa kutumia nembo ya SMT (nikiwa na maana vitu kama bendera ya SMT) bila SMT yenyewe kujua hiyo nembo inatumika wapi, kwa nini, na ''effects'' zake ni zipi?? Kumbe ndio sababu passport za Tanzania zinatumiwa na wahalifu wengi tu, kwa vile ''documents'' zilizo sensitive, zinauzwa kama machinga wanavyouza sigara mojamoja huko barbarni?? Hivi, nani anasimamia nini??. Baada ya kuona haya yametokea, SMT inafanya nini kuhakikisha mambo mengine kama haya hayajitokezi?? Au wahusika wako likizo ya muda mrefu?? Au wanajua yanayoendelea, kwamba kila kitu kimekuwa ni ''shamba la bibi??. EE MOLA UTUOKOE NA HAWA WATAWALA WANAOTUPELEKA MOTONI
 
All in all serikali ya Tanzania haiko katika control au ilijua na ilikuwa part of uozo huu.

Excuses are not very helpful to result oriented people.
somehow helpful for event oriented people and those who postpone problems!
 
Usajiri wa meli hizo ulifanywa na mamlaka ya SMZ, SUMATRA iliwekwa pembeni, hivyo SMT haihusiki na hilo. Baada ya kashfa hiyo kuibuliwa, uongozi wa Zanzibar ulidiriki kueleza kuwa suala la kusajili meli si la Muungano.

= Usajili.
 
Zanzibar should be bombed to STONE AGE by USA and EU for reflagging Iranians tankers contraly to the UN resolution which Tanzania supported it.
 
Back
Top Bottom