Tanzania Commision for Universities- kujitoa kwa MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY

surambaya

Senior Member
Aug 30, 2012
103
28
Ivi inawezekana chuo kikuu kujitoa na registration ya TCU? Alafu inakuwaje kwa Graduates wao wakienda nje ya chini wakitaka ku apply maana si inabidi vyuo vya nje virudi huku ili kupata usahihi wa mwanafunzi huyo?au nini faida ya TCU?
 
Kwani MUM wamejitoa TCU?

Selection zao kujiunga pale hazipitii TCU kama form six wengine ambao lazima wawe allocated na vyuo na TCU. Unaonekana kama unataka kuwa mbishi! Just ask, hakuna anayejua kila kitu!
 
Sasa umuhimu wa Tanzania comission for universities ni nini?na inakuwaje ukiwa nje utapataje maelezo ya graduates wa chuo kama hicho? Na waajiri nao watapataje maelezo ya Graduates kama kweli wamehitimu vyuo vikuu?? Je kuna chuo kingine chochote ambacho hakimo kwenye usajiri wa TCU?? Au kuna chombo kingine unaweza pata maelezo ya wahitimu mbalimbali wa vyuo vikuu?? TUWEKEE UWAZI humu..
 
achana nao wanaenda kujiunga na
IOC, wabinafsi sana kwakila kitu.

V
SENGEREMA
 
Kweli kuwa ni Morogoro islamic University wamejitoa TCU, sasa inakuwaje hapo?
 
Selection zao kujiunga pale hazipitii TCU kama form six wengine ambao lazima wawe allocated na vyuo na TCU. Unaonekana kama unataka kuwa mbishi! Just ask, hakuna anayejua kila kitu!

Mkuu umekula bangi asubuhi asubuhi? Mleta mada kasema MUM wamejitoa TCU na ku question uhalali wa degree za MUM nje ya nchi, kosa langu ni lipi?
 
Ivi inawezekana chuo kikuu kujitoa na registration ya TCU? Alafu inakuwaje kwa Graduates wao wakienda nje ya chini wakitaka ku apply maana si inabidi vyuo vya nje virudi huku ili kupata usahihi wa mwanafunzi huyo?au nini faida ya TCU?

Wanafunzi wa MUM watakuwa na soko nchini Zanzibar so nothing to worry mkuu
 
Wamejitoa lini na kwanini? Mbona sisikii Shekhe Ponda akitaka chuo hicho kirudishwe kwa walipa kodi? Just curiosity tu maana amekazana kwenye mambo mengine tu hili amelisahau.
 
Mkuu umekula bangi asubuhi asubuhi? Mleta mada kasema MUM wamejitoa TCU na ku question uhalali wa degree za MUM nje ya nchi, kosa langu ni lipi?

Wewe mtoto najua wewe ni ex form six aspiring for university education. Sidhani kama baba na mama yako wamekufundisha matusi , ULAANIWE wewe na UZAO wako: NAKULAANI! UKO UNAKOKWENDA UDISKO UENDE MITAANI
 
Mod mbona comment yangu umeitoa? ilikuwa na kosa gani?? kuhoji mleta mada??
 
Ivi inawezekana chuo kikuu kujitoa na registration ya TCU? Alafu inakuwaje kwa Graduates wao wakienda nje ya chini wakitaka ku apply maana si inabidi vyuo vya nje virudi huku ili kupata usahihi wa mwanafunzi huyo?au nini faida ya TCU?

Sidhani kama waliwahi kujiunga na TCU. Hata kwenye prospectus ya TCU hawamo. Hata sifa za kujiunga huwa ni laini kidogo. Actually at one time DVC alitoa ufafanuzi kuwa sio watoto wote wanaofeli form six hawana akili ni kuwa mazingira hayawaruhusu particularly wa shule Kata na zinginezo za binafsi. Hivyo wanalegeza kuwapa nafasi underprivileged poor students, which makes sense
 
mi nadhani cha kujiuliza ni je mum wanafunzi wanasomea nini? Inawezekana wanachofundisha si 'elimu dunia'. So they dont want to be monitored on quality assurance basis. Otherwise akuna haja ya kujitoa.
 
Wanafunzi wa MUM watakuwa na soko nchini Zanzibar so nothing to worry mkuu

hiv ulishawah kujiulza kwann Udsm wamewamind TCU katka swala la kuwapelekea wanafunz wacokuwa na vgezo? Mfano: Law wanachukua dvsn 1 but hata wa 2 mwaka huu wamepelekwa thats y Udsm wamemind.MUM hawalitak hlo litokee.Kama una nia ya kusoma kwao bac unatakiwa uende chuon kwao ukachukue 4m.Ila mkopo unakula kama kawa!
 
hiv ulishawah kujiulza
kwann Udsm wamewamind
TCU katka swala la
kuwapelekea wanafunz
wacokuwa na vgezo?
Mfano: Law wanachukua dvsn 1 but hata wa 2
mwaka huu wamepelekwa
thats y Udsm
wamemind.MUM hawalitak
hlo litokee.Kama una nia ya
kusoma kwao bac unatakiwa uende chuon
kwao ukachukue 4m.Ila
mkopo unakula kama
kawa!
 
MUM ni chuo na kina maamuzi yake binafsi na tcu ni genge la wahuni wanaotaka kuiuwa elimu ya bongo na kuuwa NACTE na ndio maana ukiangalia vyuo vingi wanatoa form pale chuoni kwao kwa hiyo huu utaratibu wa tcu ni fake kinomanoma..

Hongereni mliochaguliwa vyuoni mkasome sana..
 
Back
Top Bottom