ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,664
Nimekaa nikajiuliza maswali kadhaa nikaona nakosa majibu nikaamua kuja kushare nanyi hapa!
Hivi code za nchi fulani katika masiliano zinasaidia nini mfano Tanzania ni +255 nini faida ya kuwa na hii code?
Je nani anahusika na kugawa hizi code yaani nani anaamua Tanzania watumie + 255 na nchi nyingine watumie zingine?
Je hizi code nchi inaweza kuuamua kuzibadirisha? Kama inawezekana gharama za kubadiri ni zipi na Faida yake ni ipi na kama haiwezi kwanini hatuwezi akati mitandao kama tigo,voda na mingine wanaamua tuu kubadirisha namba za mwanzo utasikia hii ni tigo ya zamani na hii ni mpya!
Kifupi nahoji kuhusu code +255 ni lazima tuwe nayo? Na inasaidia nn