DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,471 Reaction score 83,676 Jan 20, 2018 #1 Marekan police akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anajua unatoa gun hivyo anakupiga hands up faster In my country polisi akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anaanza kutabasam sasa cjui anajua unatoa nn!!!!!!!
Marekan police akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anajua unatoa gun hivyo anakupiga hands up faster In my country polisi akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anaanza kutabasam sasa cjui anajua unatoa nn!!!!!!!
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,102 Reaction score 2,154 Jan 20, 2018 #2 Anajua posho inakuja ya siku hiyo.
mahatmaxlla JF-Expert Member Joined Nov 26, 2017 Posts 967 Reaction score 1,575 Jan 20, 2018 #3 Anajua unatoa kilicho mshinda yesu
Tamati JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 1,084 Reaction score 1,960 Jan 20, 2018 #4 Na hivi vyuma vilivyokaza lazima atoe meno yote hadi magego