Tanzania business database

cerengeti

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,878
1,626
exclusive database of Tanzanian businesses

we have an exclusive database of Tanzanian businesses, from Public and Private sectors.

we can provide you with list of following database:

A - Agriculture, forestry and fishing
B - Mining and quarrying
C - Manufacturing
D - Electricity, gas, steam and air conditioning supply
E - Water supply; sewerage, waste management and remediation activities
F - Construction
G - Wholesale and retail trade; repair of motor vehicles and motorcycles
H - Transportation and storage
I - Accommodation and food service activities
J - Information and communication
K - Financial and insurance activities
L - Real estate activities
M - Professional, scientific and technical activities
N - Administrative and support service activities
O - Public administration and defence; compulsory social security
P - Education
Q - Human health and social work activities
R - Arts, entertainment and recreation
S - Other service activities
T - Activities of households as employers; undifferentiated goods- and services-producing activities of households for own use
U - Activities of extraterritorial organizations and bodies

our databases contains following fields:
* Company Name
* Category type
* Contact Person
* Email
* Phone Number
* Fax
* Street Address
* P.O.Box Address
* City
* Ward
* District
* Region
* Country

please let us how we can help you.
E: wigotz@gmail.com
A:p.O Box 76543 Dar es salaam, TANZANIA
 
Ni Database ama ni Information Mngt System? ebu weka sawa hapo na pia hzo attributes zmekaaje hpo znacompose multitable au
 
1.Weka website ya database
2.Weka gharama za kufungua na kuitumia hiyo database kwa sector flani kwa muda maalamu kama nusu saa au lisaa
3.sio kila mtu akupigie simu au akutumie email.
Hii Kama unataka kufanya biashara kwa njia rahisi na kuingiza kipato kirahisi
* Au tafuta mtandao wowote wa simu uwauzie au muuingie now mkataba wa kazi,ambapo utawarahisishia wateja wako mfumo wa malipo na wewe utapata faida kubwa.


Ni Hayo TU!
 
Wabongo bwana, huyu jamaa ni mfanya biashara supposedly ila hajielewi bado. Yaani mtu unatangaza biashara lakini hujuwi unataka nini. Weka mifano watu wakuelewe.
 
Wabongo bwana, huyu jamaa ni mfanya biashara supposedly ila hajielewi bado. Yaani mtu unatangaza biashara lakini hujuwi unataka nini. Weka mifano watu wakuelewe.
Hii ni List ya makampuni Tanzania ambayo unatumia katika kutafuta masoko ya bidhaa zako au kufanya utafiti kuhusu masuala mbalimbali.

. Naona lugha ya malkia Elizabeth inakupiga chenga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom