Tanzania, Burundi hold back single customs zone bid

Kwanini wa Rwanda wanahangaika sana na waTZ,kama sisi ni wajinga si watuache na ujinga wetu.?
 
Mnatuletea habari za kusaidiana kukusanya ushuru si ndio kuharibiana ulaji huku. Mnataka tusipige dili na ten percent tulizozoea, tunaelekea kwenye uchaguzi tunahitaji hela mtukome.
 
Hahaha!!! nimeipenda hii, natumai wengine watakua wawazi kama wewe.
 
nawashauri muendelee kivyenu...bongo miyeyusho....mtachelewa bure...uku michongo haisogei mpaka wazito wakae wadiscuss jinsi watakavyofaidika and this normally takes time

ahahahahahah kweli mwanangu.....wasepe kivyao....kibongobongo hakuna mwenye time yani...tutawachelewesha bure..hii nchi tunaijua wenyewe....kimtindo..hadi time hizi hatujui tuna serikali ngapi..alafu kabla hatujafikia muafaka tukaweka poooz..tuna discuss bajeti...wakati tunadiscuss bajet...tukaanza ku discuss dengue..alaf viongozi wakasema tutajenga reli zinazopita juu...ahahahha (kufurahisha wananchi wake kidogo)....
 
hii hihihi...mbavu sina...
 
Back
Top Bottom