Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,254 21,276 May 17, 2017 #2 Ha ha ha haaaa... Ukibonyeza hapo unakutana na sura ya mwandishi anakwambia Ni ndoto, au anasema Ni "future tweet"
Ha ha ha haaaa... Ukibonyeza hapo unakutana na sura ya mwandishi anakwambia Ni ndoto, au anasema Ni "future tweet"
sajumo JF-Expert Member Nov 20, 2013 1,834 1,055 May 18, 2017 Thread starter #4 Kazi ipo kaka. Maana unaweza kuta bonge LA picha
BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Jun 23, 2012 12,320 11,322 May 18, 2017 #5 Ovyo kabisa ...wapuuzi kabisa hao. Zero brain katika ubora wao
sajumo JF-Expert Member Nov 20, 2013 1,834 1,055 May 18, 2017 Thread starter #6 La joka alaf unaambiwa joka kubwa dunian lavamia basi alafu unakuta picha imetolewa katika movie moja
La joka alaf unaambiwa joka kubwa dunian lavamia basi alafu unakuta picha imetolewa katika movie moja