Yawezekana tuko wengi tunafikiria lini tanzania itaondokana na umaskini ufisadi
na matatizo mengi tu ya dunia hii...kwa hakika wapo wasomi waliotoa mawazo yao leo hii wakiabika akuna linaloendelea zaidi ya kutupiwa lawama..wapo wazee wa zamani waliamua kuvunja ukimya na kukataa kulindwa na serikali na kusema uchafu na uozo unaoendelea utatumaliza...lakini leo nawaambia tutapiga makelele yote kila sehemu kama serikali ikiongozwa na rais wao kikwete aitamrudia mungu na kukiri yesu ni bwana \
kamwe tutarajie mengi mabaya na machafuhasa kipindi hiki wanapoenda kumalizia mlongo wao wakitumi chukua chako mapema........usikate tamaa zidi kuiombea ipo siku mungu atafungua njia
Mkuu nadhani umeenda mbali sana na ambako unatakiwa usiende kwa sababu ukiulizwa maswali magumu huna la kujibu.
Ebu tueleze mafanikio ya USSR mpaka wakanusa superpower walikuwa wanaamini dini gani? njoo China na Japan elezea wanaabudu dini gani
Usiishie hapo nenda the fastest growing city Dubai waulize kama Yesu wanamjua.
YESU anabaki katika nafasi yake Kama YESU na aliposema utakula kwa jasho HE MEANT IT! KUNA laws of nature na kuna divine laws, kuna natural laws na supernatural laws! natural laws are within our power supernatural laws are God's(Jesus)
Nashangaa umeipoint serikali ya JK wakati wasiomfahamu YESU na ambao hawajampokea wako makanisani humo humo , kuanzia RC mpaka kwa walokole! sijajua YESU yupi unayetamka wampokee YESU wa biblia au wa Tanzania.
Be serious, Yesu wa biblia ni tofauti sana na wa Tanzania, sawa na Muhammad wa quran siye aliyepo Tanzania! we have our own unique religions!
Strictily speaking kungekuwa na walio serious kabisa kumfuata Yesu wala usingekuwakumbusha watu wamfuate wala kumpokea wangeenda automatic!
Ukisoma biblia yako utagundua we dont have akina Yohana mbatizaji, aliyekuwa tayari kukatwa kichwa kueleza ukweli, ungewaona akina Shadrack, Meshack na Abednego waliokuwa tayari kuchomwa kwa kusimamia ukweli! leo wachungaji karibu wote wamelala unataka akina JK waende huko huko nao wakalazwe usingizi.
Kanisa la Tz liko kwenye serious problems
Hao akina Malasusa wanashabikia uovu, akina Pengo wanaokaa meza moja na mafisadi, au wabishi kama akina Kakobe! you must be kidding! nyie jidannganyeni mna Yesu na vimajina vyenu vya kikristo wakati hamna sura kabisa ya lolote la kwenye biblia , churches are simply social clubs now adays, BIBLIA HAIFUATWI, unless ukinieleza kanisa gani Tz wanaifuata biblia.....
Kanisa la Tanzania ni chafu, inabidi kujisafisha, upuuzi wa kufungisha ndoa za wajawazito na kudai mafungu ya kumi , na kuishi na mafisadi walio serikalini ni alama tosha ya kuwa this church is not serious and is not inviting!
dont ask me read your bible!