Tanzania bila watanzania

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Ndugu thinkers leo hii bei ya dola ni 1540 kuuza kununu 1560 mpaka 1600 na pesa yetu haipatikani na ikipatikana haina thamani.Nani huyu katupeleka hapa idadi yetu haijulikana watawala wetu wanona kawaida maisha yamepnda mkuu wa wasaidizi wao kwao hawana matatzizo kama yetu na wao hawajali kama taulo imeanguka kwa wakwe nani ataokota niiname ni kosa je nini hatma ya nchi yangu tanzania je yatupasa kufunga na kuomba ama nahisi roho i radhi ila mwili ni dhaifu saa yaja na haiko mbali wana watnganyika kila mmoja atataka kuiokoa nafsi yao
 
Hii ndio falsafa ya chama tawala kinachowalinda wawekezaji/mafisadi kwa kuwaua watanzania.
 
Dawa ni kupitia mikataba yote ya uwekezaji upya, kuhakikisha kwamba uwekezaji unakuza uchumi wa nchi, kinyume na sasa uwekezaji unabomoa uchumi wa nchi kwa kuwa mapato ya uwekezaji yanajenga uchumi wa nchi za nje badala ya kujenga uchumi wa Tanzania, hivyo uchumi wa Tanzania unazidi kudorora. Ni lazima malisili zetu ziijenge Tanzania kiuchumi, na hili kufanya hivyo inatakiwa kuwadhibiti hawa wanaojiita wawekezaji wakati ni wezi wakubwa wa rasilimali za Tanzania, ni wahujumu wa uchumi wa Tanzania, kwa hakika wanapaswa kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi wa Tanzania.
 
Dawa ni kuvunja Muungano ili mjitawale wenyewe.

Ufisadi utawamaliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom