Tanzania au Tanganyika?

Tanzania au Tanganyika?

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,649
Jana nilikuwa naongea na jamaa fulani kutoka UK ambao kwa namna fulani wanakabiliwa na changamoto za muungano zinazokaribia kufanana na zetu. Waliniuliza kwamba, endapo muungano ungefikia ukomo leo, wananchi wa bara wangependa kuendelea kuitwa Tanzania au kurejea jina la awali la Tanganyika?

Nilitoa maoni yangu nitayawasilisha hapo chini.

Wewe je ungependa jina lipi?

Binafsi ningependa tuendelee kuitwa Tanzania. Maoni yangu ni kama ifuatavyo.

1. Mimi ni miongoni mwa watu wengi waliozaliwa Tanzania. Siijui Tanganyika na itakuwa kama nabadilisha uraia ukubwani.

2. Katika matumizi ya kawaida, Tanzania imekuwa ikiwakilisha Tanzania bara na kwa hiyo itakuwa nimwendelezo wa kile kilichopo sasa.

3. Zanzibar wanaonekana kuridhia na kuridhika kuitwa hivyo badala ya Tanzania visiwani. Sidhani kama watakuwa na matatizo ya sisi kutumia tanzania ambayo ina neno Zanzibar ndani yake.

4. Sina hakika ila sidhani kama kutakuwa na matatizo ya kikatiba na kisheria endapo katiba itakayoundwa baada ya tukio hilo itatoa fursa hiyo kwa yeyote atakayetaka kuendeleza jina la Tanzania baada ya muungano kufikia ukomo wake!
 
wewe ambaye tayari unamaoni hauyaweki hapa unataka wengine ndio watae yao, mi nasubiri maoni yako kwanza
 
UKAWA, kikundi haramu, kazi yao ni kuombea tu watu wagawanyike, ili yumkini wao wapate madaraka! Wakati dunia inaelekea kuwa kijiji kimoja, UKAWA wako busy kugawanya nchi!
 
Jana nilikuwa naongea na jamaa fulani kutoka UK ambao kwa namna fulani wanakabiliwa na changamoto za muungano zinazokaribia kufanana na zetu. Waliniuliza kwamba, endapo muungano ungefikia ukomo leo, wananchi wa bara wangependa kuendelea kuitwa Tanzania au kurejea jina la awali la Tanganyika?

Nilitoa maoni yangu nitayawasilisha hapo chini.

Wewe je ungependa jina lipi?

Binafsi ningependa tuendelee kuitwa Tanzania. Maoni yangu ni kama ifuatavyo.

1. Mimi ni miongoni mwa watu wengi waliozaliwa Tanzania. Siijui Tanganyika na itakuwa kama nabadilisha uraia ukubwani.

2. Katika matumizi ya kawaida, Tanzania imekuwa ikiwakilisha Tanzania bara na kwa hiyo itakuwa nimwendelezo wa kile kilichopo sasa.

3. Zanzibar wanaonekana kuridhia na kuridhika kuitwa hivyo badala ya Tanzania visiwani. Sidhani kama watakuwa na matatizo ya sisi kutumia tanzania ambayo ina neno Zanzibar ndani yake.

4. Sina hakika ila sidhani kama kutakuwa na matatizo ya kikatiba na kisheria endapo katiba itakayoundwa baada ya tukio hilo itatoa fursa hiyo kwa yeyote atakayetaka kuendeleza jina la Tanzania baada ya muungano kufikia ukomo wake!

Niko na wewe 200 percent....hata muungano ukivunjwa tuendelee kuitwa Tanzania..
ikishindikana tuitwe 'AZANIA' ...

silipendi jina la Tanganyika..
 
Mi nataka Tanzania iendelee.

Tanganyika silipendi na masikioni haliko vizuri kama Tanzania.

Tanganyika naona limekaa kishamba shamba hivi.....
 
Azania pia sio baya

Yeah siyo baya lakini si zuri kama lilivyo Tanzania.

Halafu nadhani hata Afrika Kusini hulitumia hilo jina (au niseme watu hulitumia hilo jina wakimaanisha Afrika Kusini).

Tuendelee tu na Tanzania yetu.
 
Herufi A in advantages
tukijiita Azania tutapata hizo advantages za kuwa first na ikatuambukiza kupenda kuitwa first
herufi T nayo iko nyuuma sana.....kutwa tuko wa mwisho mwisho
halafu herufi T nayo kama ina mkosi lol
Takukuru,Tanesco,Taifa Stars...lol
 
Bila shaka muungano utaendelea na inshallah nchi tanzania itaendelea kuwepo milele. Kwa bahati mbaya wale waliomtimua sultani 1964 (sio hawa vibaraka kina jussa na seif) wakisema muungano basi watu milioni 45 ni vema kuendelea kujitambulisha kama Tanzania na milioni 1 kuendelea na uzanzibari wao.
 
Herufi A in advantages
tukijiita Azania tutapata hizo advantages za kuwa first na ikatuambukiza kupenda kuitwa first
herufi T nayo iko nyuuma sana.....kutwa tuko wa mwisho mwisho
halafu herufi T nayo kama ina mkosi lol
Takukuru,Tanesco,Taifa Stars...lol

Hahaaaa....that's too petty, Bossman.
 
Tanganyika ndo njia kuu, hii Tanzania ni mchepuko tu!!!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
wewe ambaye tayari unamaoni hauyaweki hapa unataka wengine ndio watae yao, mi nasubiri maoni yako kwanza
Mimi nimesoma nimeona katoa maoni yake kuwa anapendekeza kama tutavunja muungano Tanganyika iendelee kuitwa Tanzania tena katoa na sababu kuwa yeye alizaliwa wakati wa Tanzania pamoja na kizazi kikubwa cha aina yake
 
Back
Top Bottom