MfanoLeo hii account kibao zimekuwa hacked ni wazi ni lazima kama nchi tuanzishe
Tanzania army cyber command kama ingekuwepo ingezuia hili shambulio
MfanoLeo hii account kibao zimekuwa hacked ni wazi ni lazima kama nchi tuanzishe
Tanzania army cyber command kama ingekuwepo ingezuia hili shambulio
AlooooMi naomba ni kuulize kitu naona kama akili zilipataga ajali ya ndege.
Hivi wewe kila kitu dunia hii unataka kuwa unamawazo mengi kushinda hata computer na AI
Ondoa neno army hapo, hiyo iko kwa ajili ya mambo ya kijeshi.Leo hii account kibao zimekuwa hacked ni wazi ni lazima kama nchi tuanzishe
Tanzania army cyber command kama ingekuwepo ingezuia hili shambulio
Unaondoaje jeshi kuna mambo mengi huyajui alafu mbaya zaidi akili zako zimeshikwa ndo hutakaa unieleweOndoa neno army hapo, hiyo iko kwa ajili ya mambo ya kijeshi.
Ni kuwa na agency ya kiraia ambayo itafanya hizo kazi.
That how huku US wanafanya wana agency CISA, hii component ya homeland security ,ambao wamekua wakifanya hivyo muda mrefu sana.
Zaidi yapo wa NSA japokuwa hawa ni information collection na n.k
Laki pia wana sera ambazo zinawawezesha makampuni makubwa kama microsoft,google ku wajulisha kama kuna shambulio ya kimtandao
Kama hakuna ndo kinachoizuia Tanzania wasiwe nacho hizi kali za kushikwa hizi
Angalia u.s army cyber command kazi zao usiwe unaongea mambo usiyoyajua
Unajua kazi ya US cyber com? Wale ni kwa ajili ya jeshi lao.Kama hakuna ndo kinachoizuia Tanzania wasiwe nacho hizi kali za kushikwa hizi
Angalia u.s army cyber command kazi zao usiwe unaongea mambo usiyoyajua
Unataka kusema jamaa ni Overthinking.Mi naomba ni kuulize kitu naona kama akili zilipataga ajali ya ndege.
Hivi wewe kila kitu dunia hii unataka kuwa unamawazo mengi kushinda hata computer na AI
Unafikiri watakuambia kila kitu kwa usahii utasubiri sanaUs amey
Unajua kazi ya US cyber com? Wale ni kwa ajili ya jeshi lao.
Usualy wako pale kulinda infrastructure za jeshi. Si za kiraia
kuna agency ambayo si ya jeshi inafanya hizo kazi, CISA, wako under department of homeland security
Hawa wako kulinda miundo mbinu na data za serikal
Lakin kuna wadau wengine kama NSA, FBI cyber teams .
Pili sera ambayo imeruhusu makampuni makubwa kama microsoft, google wmbazo wa cyber labs zao na structure sao, kuijulisha serikal kama kuna shambulio ya kumtandao kwenye taasis zake
Si kila kitu ni kuweka jeshi
Huyo mpotezee hayo mambo yapo juu ya uwezo wakeAloooo
Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
- Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
- Electromagnetic warfare
- Information warfare
- Cyberspacing
View attachment 3338840
Hii nchi kwenye mambo ya digital tupo uchi sana ni basi tu wahuni hawanaga mda na TanzaniaWameumbuliwa
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya muungano ya TanzaniaKila idara ina rais so huyu ni rais wa jamii forum kuna shido
Tuandike partition afukuzwe jamiiforums
Hiyo umesema weweKwahiyo leo unajiona Yesu😂😂
Tukimwandikia mod ujumbe wa kuondolewa kwa watu kama mia anaondolewa jamiiforum haraka sanaNaunga mkono hoja na niko tayari kwa hili