Tanzania Army Cyber Command

Tanzania Army Cyber Command

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,125
Reaction score
6,141
Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
  • Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
  • Electromagnetic warfare
  • Information warfare
  • Cyberspacing
 
Kwa hiyo ukiwa rais hilo tu ndio utakaloliweza au? FOMU ya kugombea urais unaichukulia ukiwa chama gani, budget ya kampeni unayo au ndio unasikilizia mchongo?
 
Mkuu unikumbuke tu utakapokalia kiti chako cha enzi. Nipo tayari kufanikisha hayo unayoyasema.
 
Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
  • Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
  • Electromagnetic warfare
  • Information warfare
  • Cyberspacing

View attachment 3338840
Fanya ukiongea hawez mtu akakuelewa kama ana akili ndogo..
 
Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
  • Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
  • Electromagnetic warfare
  • Information warfare
  • Cyberspacing

View attachment 3338840
Fanya afu utoe mrejesho
 
LEO NDO UMEONGEA KITU CHA TOFAUTI KABISA..
NAKUSUBIRI KWENYE MFUMO WA UZALISHAJI MALI YAANI KWENYE UBEPARI AU UJAMAA..
MFUMO WA UENDESHAJI BANK KUU.

unless otherwise, "WE HAVE A NEW ALLIENS IN THE HOUSE"
 
Leo hii account kibao zimekuwa hacked ni wazi ni lazima kama nchi tuanzishe
Tanzania army cyber command kama ingekuwepo ingezuia hili shambulio
 
Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
  • Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
  • Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
  • Electromagnetic warfare
  • Information warfare
  • Cyberspacing

View attachment 3338840
Hakuna kitu kinaitwa hivyo, hata hivyo si kazi ya jeshi kuhifadhi data za wizara au taasis za serikali.
Hiyo ji kazi ya separate entity, na ipo inafanya hizo kazi. In hizo onfrastructure

Jeshi la wananch letu adhim kabisa wana idars ya cyber ambayo si popular sana urainani. Wako vizuir na sikuizi wana vijana wameelimika sana

Police in other side is a different story
 
Omba uwe msimamizi wa taasisi, sio uraisi😂.
Area 51 ni taasisi ya selikari Director wa area 51 ni zaidi ya raisi.
 
Hakuna kitu kinaitwa hivyo, hata hivyo si kazi ya jeshi kuhifadhi data za wizara au taasis za serikali.
Hiyo ji kazi ya separate entity, na ipo inafanya hizo kazi. In hizo onfrastructure

Jeshi la wananch letu adhim kabisa wana idars ya cyber ambayo si popular sana urainani. Wako vizuir na sikuizi wana vijana wameelimika sana

Police in other side is a different story
Kama hakuna ndo kinachoizuia Tanzania wasiwe nacho hizi kali za kushikwa hizi

Angalia u.s army cyber command kazi zao usiwe unaongea mambo usiyoyajua
 
Back
Top Bottom