Tanzania are so boring! (an article from Uganda Observer)


Kwa sababu demokrasia kwa masela wa kitanzania ni Chagadema kushinda uchaguzi!! Kwamba watu mil6 ndo waamue nani awe raisi na mil8 karibu 9 wawe wapole.
Kweli upinzani Tanzania ni kama kulea mtoto mwenye mtindio wa ubongo.
Hivi mshinde kwa ushawishi gani mkubwa? Hiyo falsafa yenu ya kubadilisha gia ndege ikiwa angani?
Mnafeli kwa sababu hamna mipango, hamuaminiki na hamna competent pesonnel. Ushahidi ni kutafutiza tafutiza wagombea, kwamba hamkuwa na watu wenye ushawishi kwa watanzania hadi kufikia Julai mwaka huu, having forgotten kwamba 2010 "mlishinda" ila mliibiwa kura.
Yuh know what? Sasa mnawahakikishia watz kuwa mlishindwa vibaya 2010 na hili mlilijua kabisa na hivyo kuhitaji mgombea "bora" zaidi mwaka huu.
Unfortunately enough, kwa makegeza yenu, mmeshindwa kujua mgombea bora hawezi kuwa fisadi!! Na mmefeli.
Kama kawaida mmebaki kulialia tena huku mkijua hamna majority votes, na sasa hivi mmezibwa midomo technically, kura zimebandikwa vituoni na kwa hiyo mnaposema mmeibiwa bila ushahidi kila mwenye akili anajua hizo ni blah blah!! Kwamba mtafanya nini na mmewekeza pesa nyingi za "marafiki"?!!
Hahaha Tanzania Are So Boring!
 
kwamba Nyerere is alive and ticking,,,n mm ndo nimeshindwa kuelewa lugha ya meli iyo au uyu jamaa aliandika iyo article 90's
 
Not even a party dictatorship but a party elite dictatorship. Mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya ccm umetuthibitishia kuwa chama hicho siyo wananchama bali ni wateule wachache waliohodhi madaraka kiasi cha kuweza hata kuvunja katiba yao kufikia malengo binafsi. Bora udikteta wa mtu mmoja kwa sababu mwisho wake uko karibu zaidi kuliko ule wa kikundi cha watu.
 

Kila nchi inayo matatizo yake kulingana na historia yake kisiasa. Kwa bahati nzuri, kitendo cha Mwalimu Nyerere kuachia madaraka kwa hiari kilituwezesha baadaye kurekebisha katiba na kuweka ukomo wa kipindi cha urais. Hivyo, haiwezekani sasa, hayo yanayofanyika Uganda kutokea Tanzania. Badala yake, tunayo matatizo ya aina tofauti. Tatizo letu kubwa ni wateule wachache kutuchagulia viongozi wakuu wa nchi yetu kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko ya umma. Katika orodha ndefu ya watiania ya urais kutoka ccm, kwa hakika kulikuwa na watu wazuri zaidi na wenye maono zaidi kuliko Dk. Magufuli. Demokrasia ilipindishwa kupita kiasi wakilengwa watu wawili, Membe na Magufuli tu. Wengine wote wakaenguliwa kwa vigezo mbalimbali kama umri, utajiri, ufisadi, nk. Hili ni tatizo kubwa.
 
Naona hujamwelewa mwandishi kabisa. Katumia tashtiti kufikisha ujumbe Uganda (kaandika kinyume nyume). In short kasifia demokrasia yetu, akilinganisha na nchi majirani.

Mwandishi hana uelewa wa kina siasa za Tanzania. Tangu lini demokrasia ipo Tanzania? Miaka zaidi ya hamsini tumetawali na kikundi cha watu wachache.
 
Nasi tuendeleze UTAMADUNI na heshima kwa Amani iliyojengeka naturally !!
Baraka za muumba kwa WaTanaznia....
 

I like the way he want to send a message! To understand this article someone need to settle down and crack his/her brain,, thanks for the stylish article
 
Using Tanzania to dig at Museveni. Excellent article!
 
Kweli huyo ni human right "expect"......

Alitaka tu-shade blood ili apate cha kusema na kuandika kama "expect" wa refugees issues??

What a looser

Hujamwelewa kiongozi. The way alivyotumia hiyo lugha anamsema rais wake kwa kutumia mgongo wa rais wetu anayemaliza muda wake. Soma story nzima then ielewe kinyumenyume.

Hapo kikubwa amekubali kuwa Tanzania democracy imeiva na huko kwao kuna dictator.
 

Ukweli mchungu. Tanzania haijapata mpinzani wa kweli!
 
Kweli huyo ni human right "expect"......

Alitaka tu-shade blood ili apate cha kusema na kuandika kama "expect" wa refugees issues??

What a looser

Mkuu..hujamwelewa!..he was trying to tell ugandas how the real election is done..but kwa bahati mbaya kaondoka mapema..maana hakuona..pre-ticked ballots..zikizagaa pande zote za nchi..rigging of votes.. na unazi wa watawala kwa Zanzibar..unavyotokea..ukweli ni kuwa..in east african community..hakuna free and fair elections..kila nchi inamatatizo yake..si kenya,Tanzania,Uganda,Burundi,wala Rwanda..hakuna kitu!!!
 
Naona anamshika makalio Museven.Mtasikia umeokotwa mzoga wake porini muda si mrefu.
 
I wish could face this very smart in writing man. His art of writing is indeed legible and pointing. He interests me with his arguments, he points to the real requiref selfish leaders in indirect way! This is a real article to learn throuh.... big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…