Tanzania 2020 Political Map: Discuss.

Mimi naamini kabisa!
Kama CDM wasingedhulumiwa majimbo yao kibao ya ubunge mwaka 2015 leo demography za kisiasa ingekuwa tofauti!

Mwaka 2015 kule mbeya Mwaky"mango" alichapwa hata yeye hili analijua
Kule Kyerwa Mutungilehi alishinda hili hata wao wanalijua
Hapa Dar CCM hawakushinda jimbo hata moja, hata wao hili wanalijua
Kule Mtwara walipigwa tu majimbo mengi hili hata wao wanalijua
Tumbili kule Kigoma alishinda hili hata wao wanalijua
Wenje kule mwanza alishinda hata wao wanajua

Walipora majimbo mengi tu kibabe
 
Haya yanaweza kuja ikiwa wataweza kucheza karata kwa umahiri chini ya mdimamizi mwadilifu, ila tatizo ni uadilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…