masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,907
- 15,152
Mkuu kweli umepatia, si wengi wanafahamu hilo!ruvu hii mkuu enzi hizo kabla halijajengwa lile kubwa
Mkuu kweli umepatia, si wengi wanafahamu hilo!
Ha ha ha!Wale wauza mabilinganya na samaki wakavu bado wapo pale Mkuu?
Swali zuri, kuna muhandisi atupe jibu?Kwa nini waliweka hayo mapipa? Any technical reason please?
Kwa nini waliweka hayo mapipa? Any technical reason please?
Ni ruvu pale kunakouzwa samaki wanapakwa kiwi.
yah ili muda wote wawe na mvuto.Mkuu ni ya kweli hayo
Wacha weye samaki wanapakwa kiwi?Ni ruvu pale kunakouzwa samaki wanapakwa kiwi.
Mama Mdogo hilo daraja lilisha ondolewa siku nyingi na Tanroads kupelekwa sehemu nyingine nchini.Serikali tunaishauri iliwekee ulinzi, maana hapo kuna tons kadhaa za chuma chakavu!!! Chezea mtanzania mwenye njaa ya maendeleo kwani kila mtu anataka atimize kwa vitendo ile kauri mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania ifikapo mwisho wa mwaka 2015.
Hayo mapipa yaliwekwa baada ya ukaguzi wa kitaalaam, kwa nini?bila hayo mapipa pembeni magari mawili yanaweza kupishana hapo, but daraja lisingeweza kuhimiri uzito uliozidi kima fulani ambao ungeweza kupatikana kutokana na magari mawili yatakayopita kwa wakati mmoja yakipishania hapo darajani, ndio maana wakaweka pingamizi ili lipite gari moja kwa wakati!
Jibu la hili swali mimi ninalo, na linaweza kukushangaza!!Kwa nini waliweka hayo mapipa? Any technical reason please?
Hayo mapipa yaliwekwa baada ya ukaguzi wa kitaalaam, kwa nini?
Exactly,Kudhibiti uzito utakaopita hapo kwa wakati mmoja!